Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 68
- 150
Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe.wengi wanasema uweupe unavutia.ila uweusi unaogofya sana wengi wanausema uweusi unaharibu kizazi
inasikitisha sanaMm napenda mwanamke mweusi.
Jamaa washamba sana!Sema wanaume wa Wakisukuma
Wewe ni mwanamke wa rangi gani?Uweusi hauvutii kabisa
AiseeMm napenda mwanamke mweusi.
Na ww upoje kwanzaWeupe ni mzuri ukiwa sio wa kujichubua.
Utajisikiaje unakua na Mpenzi usoni mweupe Mikono na miguu myeusi.
Nakupenda sana realMamyWeupe ni mzuri ukiwa sio wa kujichubua.
Utajisikiaje unakua na Mpenzi usoni mweupe Mikono na miguu myeusi.