WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili
Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea...
Nimesikia wanaume wanasema wanakereka na hii tabia ya wanawake;
Mwanamke hamfahamiani na mwanaume, wanakutana may be njiani, sokoni, barabarani, kwenye usafiri au kwenye mitandao ya kijamii...
Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...
Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea...
Wakuu,
Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.
Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.
Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao...
Habari Waungwana
Najuwa wapo watakaonibeza na kunidharau ila haya yalionikuta usiombe yakufike yasikie tuu kwa mwenzako maana mzigo wa mwenzako ni polo la usufi.
Naamini hakuna mahusiano ambayo...
Hi kitu imekaaje?
Mwanaume miaka 37 ameoa na anafamilia kua na urafiki na kijana wa miaka 25. Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako wote ikifika jion jamaa akitoka kazini kijana...
Linapokuja suala la Mapenzi kila mtu unapaswa kuwa makini. Mapenzi ni mazuri hasa unapompata Mtu sahihi. Mapenzi yanateka Hisia, akili na mwili hivyo ukikosa na kutopata mtu sahihi ni kama...
Habari ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka 2013 nilienda field mgodi wa Bulyanhulu huko kakora uliokuwa unamilikiwa na Accacia, kwenye kivuko pale Busisi nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Tukiwa...
Nitawapa kisa chenyewe kwa ufupi sana, maana sitaki kuwachosha.
Ni hivi, kuna jamaa tumeishi naye jirani tangu akiwa hajaoa mpk alipo oa tukaendelea kuwa majirani kwa miaka 4. Baadaye wakawa...
Wapenzi bila kugombana haiwezekani lazima mtapishana tu.
Huwa unamaliza vipi ugomvi au unamjulia vipi kwamba nikibonyeza kitufe hiki lazima ugomvi uishe atanisamehe. Au mpenzi wako huwa...
Wakuu habari za Jumapili ya mwisho wa mwaka.
Nina rafiki yangu wa kike tulikuwa tunafanya nae kazi sehemu Fulani kwa bahati mbaya kampuni ilifungwa wakati wa corona.
Hivyo tukawa tunawasiliana...
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito...
Wakuu, wadada wengi around 24 to 25 wachache 26, wako selective sana kwenye mambo ya Mahusiano.
Na mara nyingi sana matakwa yao huwa yanapishana na uhalisia.
Kuna dada mmoja mrembo sana...
Karibu tuchangie mawazo mbalimbali kuhusiana na ndoa kwa ujumla, je ni faida gani mtu anapata pindi anapo oa ama kuolewa iwe katika nyanja zote kiuchumi, kiafya, kijamii nk.
Nianze mada hii kwa kukuuliza swali.
Unapofikilia mtu ambaye ni mzuri, nani anakuja kwenye akili yako?
Nini kimefanya ukamuwaza yeye?
Je ni umbo lake, mavazi yake, nywele zake, sauti yake...
Wasalaam wakuu,
Ah katika harakati za mapenzi watu wanapitia mengi ya kufurahisha na mengin ya juhuzunish ya kuumuza mioyo nk. Ila Kuna na hili la kufumaniwa. Hatar San
Nakumbuka enzi hizo dam...
Oooh yeah sio kila siku unatuandikia thread za kulalamika tabia za mkeo/mmeo. Wakati mwingine hivyo vijitabia ni vya kurithi so just relax na chunguza kabla ya kwenda step yoyote... na...
Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri
Kwani sijawahi sikia...
Wakuu habari za muda huu, hongereni kwa mapambano dhidi mdudu huyu mchafu Corona.
Wacha twende moja kwa moja kwenye mada yetu, dada yangu ana watoto wake wa kiume mwenye miaka 15 (nataja umri ili...