Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
 
Labda vipi kuhusu mwanaume,yeye iweje ili asiweze kuchepuka.maana hilo tatizo siyo la wanawake tuu,hata wanaume vicheche wapo.

Ni hulka inayoambatana na vifungo flan hiv. so inakuwa kama kiu ya sigara ukishaanza kuvuta kuacha ni taabu.Tuendelee kumuomba mwenyezi Mungu aingilie kati kulinda ndoa
 
mahesabu makali ya kuvuka mto wenye mamba wengi,hatutawahi kuawelewa hawa viumbe wenzetu hata yesu atuite kikao wanaume wote
ukimchunga sana ni stress pia mkuu
mwanamke mwenyewe ndo mwenye kujua anatakiwa kuwa vp akiwa mke watu
 
Ajitahidi kadri awezavyo asioe malaya.

Asitafute mwanamke ambaye yupo perfect ila atafute mwanamke ambaye umalaya sio asili yake...

Kwenye process ya kutafuta huyo mwanamke atakutana na viburi wachoyo wachafu wakorofi lakini yeye achague wenyewe madhaifu mengine na sio malaya....
 
Acha ufala, go back to the Bujibuji formula. Hutojuta.
Unalalamika nini kugongewa mwanamke ambaye hujambikiri?
Kwa mlupo kama huo usiwekeze moyo wako, wekeza mavuzi tu, hata ukiyanyoa yataota na hutopata hasara yoyote kama alivyopata Samson kwa Delila
Hao walio oa bikra ndo wanachapiwa hatari. Wanawake hawajawai kueleweka kaka.
Au nasema uongo ndugu zangu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom