Vingine ni vya kurithi

trisha cute

Senior Member
Dec 1, 2020
136
500
Oooh yeah sio kila siku unatuandikia thread za kulalamika tabia za mkeo/mmeo. Wakati mwingine hivyo vijitabia ni vya kurithi so just relax na chunguza kabla ya kwenda step yoyote... na ukishachunguza kumbuka
..TABIA NI KAMA NGOZI

Ps.Future husband wangu popote ulipo jua mimi ni msukuma na tangu nakua nyumban kwetu hatujawai kuishi wenyewe as family only yani baba, mama, dada na kaka zangu nimekua katika mazingira ya kuishi na lundo la watu nyumbani kwetu na wengine hata sio ndugu zetu na tumekua tukiishi bila shida yoyote, na hii tabia pia mimi nimerithi katika maisha yangu sina circle ndogo na sijazoea kuishi kibinafsi kwaio jiandae

Changamsha mjadala hebu na wewe andika kitabia chako kimoja cha kurithi turefresh Mind


Screenshot_20210108-001146_1610202841630.jpg
 

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,117
2,000
Dah sasa sie tuliorithi tabia ya kugegeda papuchi tofauti itakuwaje kueleweka
Umeiweka imekaa kama kiutani utani vile lakini kumbe ni ukweli mnene sana... aisee kuna watu wanarithi hiyo kitu kabisa hata mimi nathibitisha

Yaani unakuta mna babu yenu ndugu wa babu lakini yeye alizaliwa nje,

Kisha mna shangazi yenu mwingine ambaye yeye ana mama tofauti na yule aliyezaa baba zenu,

Kisha tena mna kaka yenu alizaliwa nje ya ndoa mzee wenu alipokuwa kijijini kikazi,

Halafu pia wewe una mwanao mmepotezana tangu mama yake alipohamaga mji baada ya kumwambia huwezi kumuoa maana una mke,

Halafu tena mtoto wa dada yako yule wa nje ya ndoa amezalishwa mtoto nje ya ndoa

Yaani unakuta ukoo mzima kuanzia ancestor na descendants wake wote kila uzao kuna aliyezaliwa kivyake (nje ya ndoa)
 

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,043
2,000
Natamani ningerithi Tabia A Mama yangu... Mpole, busara,hekima, mpenda Amani...Msaidia wahitaji, mwenye huruma, msiri kwa Mambo yasiri, Sio mlopokaji..mtu mwema sanaaaa...

My friend my mom
Huyu ni mama.

Mtoto sasa... yetu macho. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom