Msaada wangu kwa mke wa mtu miaka 2 iliyopita unahatarisha ndoa yangu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Nitawapa kisa chenyewe kwa ufupi sana, maana sitaki kuwachosha.

Ni hivi, kuna jamaa tumeishi naye jirani tangu akiwa hajaoa mpk alipo oa tukaendelea kuwa majirani kwa miaka 4. Baadaye wakawa wamepata senti kidogo wakajenga kibanda chao sehemu, kama km 4 kutoka makazi ya mwanzo.

Huko wakaendelea kuishi lkn bila ya kupata mtoto. Mwaka wa saba wa ndoa yao, 2015, mkewe akaja kwangu kunishirikisha matatizo yao, na kisha kuniomba nitembee naye ili apate mtoto. Nilikataa.

Akaendelea kuniomba mwaka mzima. Kwakuwa kidume nilikuwa sijaoa na hata mchumba sina wakati huo, nikaona ngoja nipige mzigo. Nikala mzigo mara kadhaa kisha akadaka mimba.

Furaha ndani ya nyumba yao iliongezeaka sana, na wakamshukuru sana Mungu. Mwanaume akanunua ng'ombe dume na kumtolea Mungu sadaka ya shukurani kanisani. Mke akatunza siri kweli kweli nami nikawa busy na mambo yangu.

2017 mwezi wa pili mtoto akazaliwa, wa kiume. Vigele vigele, shangwe na nderemo vikapigwa, na mapenzi yakaongezeka baina yao.

Kinacholeta shida hivi sasa ni kwamba "chapa" yangu imejitokeza. Yaani, mtoto yuko kopi kopi na mimi. Na jamaa ananijua vizuri maana tumeishi naye. Mtoto amefichua siri kwa rangi, sura na kimo. Ugomvi mkubwa umezuka.

Wakati ugomvi huo ukiibuka huko, mm ndiyo kwanza ndoa yangu ina miezi 9 tu. Na mume wa mtu amepanga kuja kumwaga mboga kwa mke wangu, hii ni kwa mujibu wa mkewe. Amenipigia simu kunitahadharisha.

Waungwana nifanyeje kuepukana na kadhia hii?

N.B: Jamani nitazisoma tu comments zenu, maana niko bega kwa bega na shemeji yenu leo.
 
Pole kiongozi! Mara zote huwa namuomba Mungu aniepushe na hii kitu inaitwa majuto ni mjukuu. Nipo radhi nionekane mjinga lkn niepukane na majuto ni mjukuu! Ona sasa ndoa mbili zitasambaratika. Muombe sana Mungu kiongozi kwa jinsi furaha waliuokuwa nayo wanandoa hao! Chunga sana uhai wako!
 
Ivi sasa ni 2015. ..rekebisha makosa yako nime kurudishia miaka nyuma
naijatwittersavages-20181225-0002.jpeg
 
Nitawapa kisa chenyewe kwa ufupi sana, maana sitaki kuwachosha.

Ni hivi, kuna jamaa tumeishi naye jirani tangu akiwa hajaoa mpk alipo oa tukaendelea kuwa majirani kwa miaka 4. Baadaye wakawa wamepata senti kidogo wakajenga kibanda chao sehemu, kama km 4 kutoka makazi ya mwanzo.

Huko wakaendelea kuishi lkn bila ya kupata mtoto. Mwaka wa saba wa ndoa yao, 2015, mkewe akaja kwangu kunishirikisha matatizo yao, na kisha kuniomba nitembee naye ili apate mtoto. Nilikataa.

Akaendelea kuniomba mwaka mzima. Kwakuwa kidume nilikuwa sijaoa na hata mchumba sina wakati huo, nikaona ngoja nipige mzigo. Nikala mzigo mara kadhaa kisha akadaka mimba.

Furaha ndani ya nyumba yao iliongezeaka sana, na wakamshukuru sana Mungu. Mwanaume akanunua ng'ombe dume na kumtolea Mungu sadaka ya shukurani kanisani. Mke akatunza siri kweli kweli nami nikawa busy na mambo yangu.

2017 mwezi wa pili mtoto akazaliwa, wa kiume. Vigele vigele, shangwe na nderemo vikapigwa, na mapenzi yakaongezeka baina yao.

Kinacholeta shida hivi sasa ni kwamba "chapa" yangu imejitokeza. Yaani, mtoto yuko kopi kopi na mimi. Na jamaa ananijua vizuri maana tumeishi naye. Mtoto amefichua siri kwa rangi, sura na kimo. Ugomvi mkubwa umezuka.

Wakati ugomvi huo ukiibuka huko, mm ndiyo kwanza ndoa yangu ina miezi 9 tu. Na mume wa mtu amepanga kuja kumwaga mboga kwa mke wangu, hii ni kwa mujibu wa mkewe. Amenipigia simu kunitahadharisha.

Waungwana nifanyeje kuepukana na kadhia hii?

KWA HIYO UNATAKA TUKUSAIDIE NINI LABDA MKUU??
 
Ulichopanda ndo utavuna na mla cha mwenzake na chake uliwa tulia unyolewe au ukubali mbadilishane mke wako mpe uyo jamaa nawewe uendelee na uyo ulomzarisha.
Wewe ni mpumbavu uyo mke alipojujia kutaka ushauri kwanini hukumshairi waende hospital? Namimi kwa jina la YESU namfunga kizazi mkeo mpaka utakapotubu kwa uyo mume mwenzio.
 
Kumbuka wakati huo mkuu nilikuwa sijaoa.
 
Back
Top Bottom