Wadada wa miaka 24-25. Ni Selective sana. Namhurumia Mshikaji

Wadada wa miaka 24-25. Ni Selective sana. Namhurumia Mshikaji

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
18,931
Reaction score
31,700
Wakuu, wadada wengi around 24 to 25 wachache 26, wako selective sana kwenye mambo ya Mahusiano.

Na mara nyingi sana matakwa yao huwa yanapishana na uhalisia.

Kuna dada mmoja mrembo sana, tulitokea kuelewana sana! Ilitokea mara moja akawa ile friends with benefit, alitoka kazini kwake akapita kwangu bahati nzuri mshawasha wake ukawa juu nikampa alichostahili.

Huyu rafiki mawazo yake yote yalikuwa kwangu. Baada ya siku kadhaa akashangaa mbona sihitaji tena mchezo, ukilinganisha na uzuri wake! Binafsi nilianza kuelewa hisia zake, so nikaamua kurudi nyuma kidogo nikijua nitamuumiza tu!

Kuna sehemu nyingine nilishapeleka mahari so sikutaka urafiki wetu uwe uchungu huko mbeleni.

Ngoja nifupishe!!! Ilikuja nikaoa na huyu mdada ambaye sasa ndio anafikia 25 akanielewa sana, pamoja na kuumia hakusita kunipa mchango tena mchango mzuri kweli.

Sasa ishu iko hapa, we keep distance lakini bado huwa anatamani sana mchezo wangu.

Na kuna mshikaji wangu anampenda huyu dada kweli kweli, dah! Jamaa anajitoa ile ile! Ila binti ndio hamwelewi hata kidogo. Mshikaji ni mtu serious sana na huwa hapendi kuonekana dhaifu hata kidogo.

So hajanielezea mahusiano yake na huyu mrembo, zaidi ya kuona akimweka status mara kwa mara.

Mrembo ndio huwa ananiomba ushauri na kunielezea juu ya jamaa yangu huyu.

Juzi ilibidi nimchane, nikamwambia asindelee kumringia because mshikaji anahitaji kuoa na wakuolewa wako wengi na akimwacha, yeye atabaki akiendelea kuchagua, ndio pale akifika 30's aanze kufunga na kuomba kuolewa na yeyote!!

Nauliza wadada kuna ulazima wa kuolewa na mtu unayempenda? Hakuna kujifunza kupenda?

Namhurumia jamaa because ana struggle kwa mtu asiyempenda, sijui huwa wanatizama nini hawa watu.

Natamani nimshauri jamaa ndio hivyo hataki nijue anavyopambania penzi la huyu mrembo.
 
Sawa wewe unajiona kwamba una nyota ya wanawake.....unajidaganya wana wake hawaeleweki wanacho tafuta
sina nyota, binafsi nilizinguliwa sana.
Na niliwahi kuleta kisa cha Maureen hapa, kile kisa kilikuwa live hapa bila chenga na bado Maureen akanichana mbele ya watu hapa.
 
Mapenzi sio pie kwamba haibadiliki. Anaekupenda leo kesho anaweza kugeuka adui mkubwa hata kukutoa uhai au kinyume chake.

Jamaa asikate tamaa ipo siku atasomeka na wataishi kwa furaha.
 
Mapenzi sio pie kwamba haibadiliki. Anaekupenda leo kesho anaweza kugeuka adui mkubwa hata kukutoa uhai au kinyume chake.

Jamaa asikate tamaa ipo siku atasomeka na wataishi kwa furaha.
Ndio hivyo mkuu
 
unamuachaje msela anapotea, au ww hela akipewa huyu dada mnatumia wote
Jamaa yangu ni mgumu, so inabidi niwe upande wake! anataka kuoa kwa mambo ninavyoona.
what to do nita site kwa huyu dada akubaliane naye
 
Bro ww mwenyewe umemkimbia huyo dem alaf kama ukampasia jamaa ako hapo aendelee kimbiza iyo mama. Kama unaona msela ata lose bora umchane mapema, maana msela n msela kuna leo na kesho atakuja kukusaidia mahal ambapo hujatarajia

Jamaa yangu ni mgumu, so inabidi niwe upande wake! anataka kuoa kwa mambo ninavyoona.
what to do nita site kwa huyu dada akubaliane naye
 
Back
Top Bottom