Unapogombana na mpenzi wako unamaliza vipi ugomvi?

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,912
Wapenzi bila kugombana haiwezekani lazima mtapishana tu.

Huwa unamaliza vipi ugomvi au unamjulia vipi kwamba nikibonyeza kitufe hiki lazima ugomvi uishe atanisamehe. Au mpenzi wako huwa anakujuliaje ili umsamehe yaani hata iweje unalainika.
 
kama ugomvi ni mkubwa sana na umetokea leo, basi uwa nakaa kimya kabisa akianza kuongea..akitulia uwa hatutafutani mpaka kesho yake asubuhi, kesho yake asubuhi hakuna kukubushia ya jana tunaanzisha story zingine mpya.
 
kujishusha

hua najishusha nikiona kabisa nimekosea na yeye hufanya hivohivo

sasa hata nichukie vp mtu kishaniomba msamaha bas nakua kawaida
Mi kama niko mbali nae huwa naepuka majibizano ya meseji (texting).Nitamjibu kwa kifupi halafu nampigia nikiwa niko calm.
 
nampeleka room naanza kumkiss shingoni
nashuka mpaka chini kwenye chumvi, then game linaanza
 
Naendaga kujilaza chumbani alafu namuita akija nakula mzigo shughuli inaishia hapo cheko kama lote.
 
Kama kanikosea yeye hua akiona tu dalili nimechukia basi anaomba msamaha, na kama ni mimi nimetenda kosa nitajishusha kuomba msamaha na kubembeleza kwa sana hadi anielewe.

Sipendi maisha ya ugomvi hasa na watu watu wangu wa karibu so nitajitahidi tu tuyamalize vizuri maisha yasonge.
 
Back
Top Bottom