Msaada: Mke wa mtu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
704
1,070
Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...

Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.

Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.

Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwa hiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwamba chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu

Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa sikutaka kumfanya chochote

Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za humu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.

Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?

SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.

UPDATE

NIMESHAMNYANDUA TAYARI HIZO HABARI ZA KUPAKWA MAFUTA MTAJUA WENYEW .Asanten Kwa ushauri wenu
 
Acha uongo

Mwanamke atake umtie ,alafu eti wee ndo umuache??


Hajakutongoza, Ulimtongoza weee. Sema yeye labda anakutengenezea mazingira marahisi.


Hajataka umle, ila wewe ndo umemuomba sana papuchi nayeye kakuambia Atakupa

Ndio maana wee ndio ulikua wakwanza kumuomba namba.
 
Back
Top Bottom