Je, ulishawahi kufumaniwa?

Je, ulishawahi kufumaniwa?

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
635
Reaction score
1,458
Wasalaam wakuu,

Ah katika harakati za mapenzi watu wanapitia mengi ya kufurahisha na mengin ya juhuzunish ya kuumuza mioyo nk. Ila Kuna na hili la kufumaniwa. Hatar San

Nakumbuka enzi hizo dam inachemk nkiwa mkoa x nilikua mtu wa kujipend sana ( gentle) natupia nguo kali na mpangilio mzur. Wadada wanapendag San ma gentle wakishaona umechomekea mkanda nje bac beki hazikabi.

Mtaa wa pili kutok nlipokua nakaa Kuna dada ilikua nkipita tu lazima atata stor nying. Na mazoea kedede mi nlikua nachukulia kawaida tu mpak hy siku aliponiita kwak. Nlitok geto nkiwa namchukulia kam sista tu. Nlivyofk kwak pal nliingia kwa uhur kabisa alikua na chumb na sebule tulikaa seblen pal huku na huku naona mlibwende anaanz visa[emoji6]. Mara anakaa hv Mara vil mrad uchkoz tu ilikua mid ya sa 1 iv ucku nkitaka kuondok ananizuia .

Daah lishetan la uzinz lilishnipand kitamb ila nkaon kwa sabab katak mwenyew acha nionje ila kimoymoy nkasem n Leo tu .bac bhna kuchez chez mar tukajikut Kama tulivyozaliwa huku tumelalian [emoji41] tulipig gem had mida ya sa nne ucku .Mara ghafla tukackia mlang unagogwa kwa kwwl nlipagawa hatar mara tukasikia mtu anaita kumbe bhana alikua bwan ake ndo amerd kutok safar ..cku ya kufa nyani[emoji26].

Kidum nikaon leo n leo visend vyang niliingia navyo ndan binti kachanganyikuw hajui hata afanyaj. Anasem tu nakujaa. Sekund tana tu nlikua nshaavaa nguo nkatulia nyuma ya mlango. Jamaa akaanz kumind pal nje anaon anachlweshwa. Wakuu nlijibanz nyum ya mlang lakin nkaon ntafia ndan nkaon bwai tu. Nkamwambia dem afunge mlang ile anafungua tu nilimtia kukubmo yule jamaa. Lilikua n tukio la ghafl kwake akaanguka. Kwa kwel nlitimua mbio.

Kama za bolt visendo nimevaaa mkonon. [emoji23][emoji23]. Nahema Kama fisi. Nkaend kwa washkaj manak hat geto nlipaon pachung. Ckujua kilichotokea kwa yul dada. Na mm nlijikaush kam hakijatokea kitu kwa wajuba. ..ila nlishangaa tu yul dad haonekan mtaani.
 
Nikosa kuingia nyumba ya mwanamke na ukashirk tendo la ndoa wengi wao walio jijenga huwa walio olewa na unawez kuta mume hayup yuko safar ndio naww unajiona umepat acha tamaaaa
 
mkuu ulikuwa na papala huko nyuma utakuwa ulimletea msala sana huyo bint ungezama uvunguni kimya night jamaa angeanza koroma angekutoa fresh
 
Nilikuwa na bint mmoja nammega mpangaji wetu sasa mama yake akasafili akaacha chumba na bint itabidi aondoke pale akakae kwaama yake mdogo,sasa cku hiyo amekuja mchana ili nimmege pale home kuna sister angu nilikuwa nakaa nae lkn alikuwa mgeni hata mwezi hana.

Bint amekuja tupo chumbani tena kitandani mara paa mjomba wake akaja ,akakuta chumba cha dada yake kipo wapi akachungulia akakuta nipo kitandani na mjomba wake ,akarudi alafu akagonga mlango,mm nikaenda ile kuchungulia nje aisee nilimwamkia jamaa wakati ckuwai kumwamkia hata cku moja,
Nashukuru tulilimaliza salama na sister alikuja jua baada ya wiki maana wakati linatokea hilo alikuwa ametoka aliporudi akakuta naongea na yule mjomba WA binti uzuli alikuwa hamfahamu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kitambo sana nipo mtoto ...ile nimeshkiria mtoto wa kike huku najarbu kumpiga na shipa la kimkakati najarbu lkn mashine inagoma ...daaah Mara paap mmama mmoja jirani anapita, alituona ...sema tu alikausha kufanya hajatuona .,..but ilikua big skendo kila nikimuona na kwepa njia
 
hahahaha shipa la kimkakati lilikuwa linagoma
 
Nikosa kuingia nyumba ya mwanamke na ukashirk tendo la ndoa wengi wao walio jijenga huwa walio olewa na unawez kuta mume hayup yuko safar ndio naww unajiona umepat acha tamaaaa
Mkuu mitego ikizid kam we n rijali unakua hun namna
 
kuweza kuelewa uandishi wako
msomaji inabidi angalau awe na shahada ya Kiswahili ya Yuudizm
[emoji23][emoji23] mkuu mbn lugha rahic kbisa hy labda michapio ya hap n pal
 
mkuu ulikuwa na papala huko nyuma utakuwa ulimletea msala sana huyo bint ungezama uvunguni kimya night jamaa angeanza koroma angekutoa fresh
Mkuu vitanda vya cku iz havin uvungu mkubwa ningkosa ht hew
 
Nilikuwa na bint mmoja nammega mpangaji wetu sasa mama yake akasafili akaacha chumba na bint itabidi aondoke pale akakae kwaama yake mdogo,sasa cku hiyo amekuja mchana ili nimmege pale home kuna sister angu nilikuwa nakaa nae lkn alikuwa mgeni hata mwezi hana.

Bint amekuja tupo chumbani tena kitandani mara paa mjomba wake akaja ,akakuta chumba cha dada yake kipo wapi akachungulia akakuta nipo kitandani na mjomba wake ,akarudi alafu akagonga mlango,mm nikaenda ile kuchungulia nje aisee nilimwamkia jamaa wakati ckuwai kumwamkia hata cku moja,
Nashukuru tulilimaliza salama na sister alikuja jua baada ya wiki maana wakati linatokea hilo alikuwa ametoka aliporudi akakuta naongea na yule mjomba WA binti uzuli alikuwa hamfahamu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Ha ha pol mkuu. Kazm udate kufumaniwa sio poa
 
Mimi nilishawai kufumaniwa na beki tatu tulikutwa ndani na boss nikawa mdogo kama pilitoni halaf dem mwenyewe alikuwa bikra cha ajab nikashindwa kuifungua ikabid kesi aipeleke kwa mama akamwambia mama kijana wako nimemkuta anafanya mapenz na msichana wangu wakaz, ikabid mama amuulize nikijana gan maana home tupo vijana wa4 sijui Yule mama akunijua vizur akashindwa kunitaja maana ndugu zangu wakiingia ndani Yule mama ana ulizwa ndo huyu yeye anasema hapana akasema yeye alivaa njeans mama kusikia kavaa njeans akajua ni Mimi maana Mimi ndo mpenz wa kuvaa jeans tokea utoton ikabid mama aniulize nimwambie aka nishauri nisijarib tena nitakuja kuuwawa ndani siku nyingne alinimbia kijijn kwao Kuna kijana alifuma niwa haka uliwa ndan ya nyumba, nashangaa ana niambia Sasa wewe chumba chenyewe huna ungekuwa na chumba si mngeenda kuishi wote.
 
Uzinzi ni gharama Sana kijana
 
Back
Top Bottom