Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,294
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.

Mwanamke yuko kidogo na utofauti na Mwanaume. Mwanamke ameumbiwa thamani tangu angali tumboni kwa mama yake. Thamani ambayo wala haangaiki kuitafuta, Jukumu lake kuu ni kuilinda na kuitunza thamani hiyo kipindi muda sahihi utakapo wadia. Kwa bahati mbaya zaidi thamani yake hudumu kwa kipindi cha muda mfupi zaidi kuliko ile ya mwanaume

Thamani ya mwanamke (Female Value) huanza hushamiria anapofikia miaka 19 na hufikia kileleni afikapo miaka 26. Hiki ndio kipindi ambacho mwanamke anapata attention ya ziada kutoka kwa wanaume. Ndio kipindi ambacho uzuri na urembo wake hujidhihirisha wazi.

Hiko ndio kipindi ambacho Munu amemuumbia mwanamke kupata mwanaume. Kipindi ambacho atatongozwa na idadi kubwa sana ya wanaume kuliko kipindi chochote kile kwenye maisha yake. Hivyo basi ni vyema mabinti watumie vyema wakati huo. Wanawake wengi wametumia vibaya sana wakati huu.

Dalili za wanawake walio chezea vibaya dirisha hili.

  1. Wengi wao wanashinda makanisani kuombewa wapate wanaume wa kuwaoa.
  2. Wengi wao wamegeuka na kujipa jukumu la kutongoza wanaume hadi jamii inawashangaa.
  3. Wengi wao wanashangaa kwanini hawatongozwi na kshobokewa na ilivyo kipindi cha nyuma.
  4. Wengi wamebebeshwa mimba na kubaki Masingo Maza.
  5. Wengu wameishia kudanga na kupewa magonjwa ya kudumu kama HIV
Ukiuchezea muda huo hakuna atakaye kuadhibu, bali UKUTA wa huo muda ndio utakao kuadhibu. Ewe binti usiruhusu dirisha hili likukute na kukupita bila ya kujichukulia chako mapema.
download (2).jpg
 
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.

Mwanamke yuko kidogo na utofauti na Mwanaume. Mwanamke ameumbiwa thamani tangu angali tumboni kwa mama yake. Thamani ambayo wala haangaiki kuitafuta, Jukumu lake kuu ni kuilinda na kuitunza thamani hiyo kipindi muda sahihi utakapo wadia. Kwa bahati mbaya zaidi thamani yake hudumu kwa kipindi cha muda mfupi zaidi kuliko ile ya mwanaume.

View attachment 1676544
Hakika nimejitunza kitu kikubwa kwenye hii post,barikiwa mkuu.
 
Eti binti akimaliza chuo bado hajapata mchumba ndio basi tena! Wote chuoni Hakuna aliyemuona?
 
Bora umesema, maana sikuhizi wanajikuta Sana hawajui kijana wa kiume anaweza kuoa hata miaka 30 wao wanafikiri kujaliwa makalio kumbe wamesahau hata tivii za chog zilishapita na wakati
 
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.

Mwanamke yuko kidogo na utofauti na Mwanaume. Mwanamke ameumbiwa thamani tangu angali tumboni kwa mama yake. Thamani ambayo wala haangaiki kuitafuta, Jukumu lake kuu ni kuilinda na kuitunza thamani hiyo kipindi muda sahihi utakapo wadia. Kwa bahati mbaya zaidi thamani yake hudumu kwa kipindi cha muda mfupi zaidi kuliko ile ya mwanaume.

Thamani ya mwanamke (Female Value) huanza hushamiria anapofikia miaka 19 na hufikia kileleni afikapo miaka 26. Hiki ndio kipindi ambacho mwanamke anapata attention ya ziada kutoka kwa wanaume. Ndio kipindi ambacho uzuri na urembo wake hujidhihirisha wazi.

Hiko ndio kipindi ambacho Munu amemuumbia mwanamke kupata mwanaume. Kipindi ambacho atatongozwa na idadi kubwa sana ya wanaume kuliko kipindi chochote kile kwenye maisha yake. Hivyo basi ni vyema mabinti watumie vyema wakati huo. Wanawake wengi wametumia vibaya sana wakati huu.

Dalili za wanawake walio chezea vibaya dirisha hili.

  1. Wengi wao wanashinda makanisani kuombewa wapate wanaume wa kuwaoa.
  2. Wengi wao wamegeuka na kujipa jukumu la kutongoza wanaume hadi jamii inawashangaa.
  3. Wengi wao wanashangaa kwanini hawatongozwi na kshobokewa na ilivyo kipindi cha nyuma.
  4. Wengi wamebebeshwa mimba na kubaki Masingo Maza.
  5. Wengu wameishia kudanga na kupewa magonjwa ya kudumu kama HIV
Ukiuchezea muda huo hakuna atakaye kuadhibu, bali UKUTA wa huo muda ndio utakao kuadhibu. Ewe binti usiruhusu dirisha hili likukute na kukupita bila ya kujichukulia chako mapema.
View attachment 1676544
Umejuaje humaanishi dirisha nililowaza mimi? Umejuaje ninachowaza?
 
Young ladies, you need to realise that life no longer revolves around a man.

Sasa utachagua utachezaje hapa Kati. I am not against marriage but you have no reason to not be able to handle both.

I mean you can go to University, get your degree or start a business and get married within this window.

Hii sredi isikutishe ukaona mwanaume ndo kila kitu ukaogopa shule ama biashara kisa utazeekea kwenu. Matokeo yake ukaenda kunyanyasika kwenye ndoa huna A wala B Wala kakibanda ka mabati ka kukimbilia ukidundwa.

Balance tu. Utatusua. Go girls.
 
Mimi nina 39 lakini nasakamwa na wanaume kama wote, kiasi kwamba nikiamua kuwa leo niolewe zitakuja posa kama mia hivi.

Lakini bado navunja mifupa kwanza. Sitaki kuingia kwenye dubwana liitwalo ndoa linalohitaji uvumilivu.

Kwann niishi kwa shida? Kuvumilia maana yake Ni shida. Nani anataka shida??
 
Mm nina 39 lkn nasakamwa na wanaume kama wote, kiasi kwamba nikiamua kuwa leo niolewe zitakuja posa kama mia hivi.

Lkn bado navunja mifupa kwanza. Sitaki kuingia kwenye dubwana liitwalo ndoa linalohitaji uvumilivu.

Kwann niishi kwa shida? Kuvumilia maana yake Ni shida. Nani anataka shida??
Wewe hujawahi kujielewa!!!
 
Young ladies, you need to realise that life no longer revolves around a man.

Sasa utachagua utachezaje hapa Kati. I am not against marriage but you have no reason to not be able to handle both.

I mean you can go to University, get your degree or start a business and get married within this window.

Hii sredi isikutishe ukaona mwanaume ndo kila kitu ukaogopa shule ama biashara kisa utazeekea kwenu. Matokeo yake ukaenda kunyanyasika kwenye ndoa huna A wala B Wala kakibanda ka mabati ka kukimbilia ukidundwa.

Balance tu. Utatusua. Go girls.
🤝
 
Back
Top Bottom