Ushauri wa haraka unajitajika

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Wakuu,

Hivi mpenzi wako wa kike akikuomba pesa ukamtumia then baada ya muda mfupi akakwambia alikua anatania uirudishe tu.

Je, utachukua uamuzi gani?
 
Kwa hiyo niirudishe kama alivosema sindio?

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Yeah, ili kuonyesha unajua nini cha kufanya. Na nina uhakika may be kakuomba buku mbili ukamtumia hiyohiyo huenda alijua utatuma twende twende hivi😄, na hilo n dharau kwa hela uliyotuma, kama alikuwa anakupima bc majibu ya hivyo vipimo angebaki nayo mana ukienda hospital kupima maleliya wanakuchukua na vya ayidisi, ila majibu watakupa ya maleliya.
Binafsi AMEONYESHA DHARAU KWA HELA ULIYOMTUMIA MKUU. jihudumie ulivaizi tulansakusheni tuuuuu💯
 
Yeah, ili kuonyesha unajua nini cha kufanya. Na nina uhakika may be kakuomba buku mbili ukamtumia hiyohiyo huenda alijua utatuma twende twende hivi, na hilo n dharau kwa hela uliyotuma, kama alikuwa anakupima bc majibu ya hivyo vipimo angebaki nayo mana ukienda hospital kupima maleliya wanakuchukua na vya ayidisi, ila majibu watakupa ya maleliya.
Binafsi AMEONYESHA DHARAU KWA HELA ULIYOMTUMIA MKUU. jihudumie ulivaizi tulansakusheni tuuuuu
Nimejaribu kuirudisha wananiambia hakuna muamala wa kurudisha
Je kashaitoa?

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kuirudisha wananiambia hakuna muamala wa kurudisha
Je kashaitoa?

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Inawezekana lakini pia huenda muda umepita tangu umetuma. Kama n ndani ya 24hrs bc kaitoa, mwambie akutumie yeye uone atasemaje. Anadharau sana huyo dada, yani anatoa hela tena anakutesa eti alikuwa anakujaribu. Mpumbavu kweli. Siku nyingne akiomba usimtumie akikuuliza mjb nilidhani unanijrb
 
Nimemtumia muda mchache uliopita hata masaa matatu bado
Baada ya muda ikaingia sms kwamba asante irudishe tu nilikua nakutania
Nimejaribu kuirudisha ndio inaniandikia hakuna muhamala wa kurudisha

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom