Tupeane mbinu mbalimbali zinazotumika kumwomba mpenzi au Ex wako tendo kwa SMS au ana kwa ana

mimimi102

Member
Jan 6, 2021
23
37
Kwa msaada wa wengine TUJIFUNZE Upo na Ex/mchumba wako labda mmejuana ndan ya Masaa/Siku kadhaa au Miezi/Miaka tuseme ndo BIDADA hajajiongeza sasa unajiongeza wewe Em taja njia ambayo unatumia kumwomba EX wako Gemu Kama unatumia; SIMU/SMS:

Unamwandikiaje ili ajue unataka KUSEX nae/unamwombaje ANA KWA ANA: Tuseme ndo kashafika geto au mpo sehem unaombaje mfanye TENDO

Kumbuka komment yako itamfumbua mtu macho na pia yawezekana wewe mwenyew ukajifunza TRICK mpya (UKITUKANA HUNA AKILI)

Najua mtasema mpe hela ndio unampa then what

Funguka
 
Mada za aina hii zinaharibu JF.

Hivi unaulizaje, tena hadharani, eti namna ya kuomba penzi kwa mtu uliyeachana naye?

Umeona wapi watu wastaarabu wanauliza ujinga ujinga?

Moderator JamiiForums pawa et al kataeni huu ujinga😐
 
Khaah hakuna kuomba, ni unamsogelea na kuanza kumfanyia mambo ya chumbani.
 
Simple, mfano
Baby uko poa it's a weekend i wish tu-catch up home tomorrow (Hii ni mwaliko aje hood)
Nikiwa nae Hood ni simple zaidi cause action takes its course than words, zero distance...... Ivo
 
...
IMG-20201224-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom