Uzuri wa mwanamke ni kuwa mfupi sehemu hizi

Aug 18, 2019
80
177
1 Ulimi Wake

2 Na Mikono Yake

3 Na Miguu Yake

4 Na Macho Yake


MAANA YAKE

1 ULIMI WAKE UWE MFUPI

Maana Yake Asiwe Muongeaji Sana Na Kubwabwaja Maneno Ovyo Ovyo Kutoongea
Sana Ni Sifa Ya Mwanamke Mzuri

2 MIKONO YAKE IWE MIFUPI

Yaani Hachukui Kile
Ambacho Yuajua Kwamba Mumewe Hapendi Akichukue Na Wala Hakitoi Kile Ambacho Mumewe Hajampa Ruhusa Ya Kukitoa Na Wala Mkono Wake Haushiki Kile Ambacho Mumewe Hapendi Ashike

3 UFUPI WA MIGUU

Yaani Hatokitoki Nyumbani Kwa Maana Ya Katika Sifa Ya Mwanamke Mzuri Ni Kutulizana Nyumbani Kwake Mwanamke Anaye Toka Nyumbani Na Kwenda Huku Na Kule Huyu Huwa Ana Dosari

4 MFUPI WA MACHO

Yaani Haangalii
Wanaume Wa Kando Macho Yake Yanatosheka Na Mumewe Tuu..! Kwa Maana Ya Kwamba Hawakodolei Wanaume Wengine Macho Au Inaweza Ikawa Na Maana Ni Mwanamke Mwenye Kumfanya Mumewe Asimuangalie Mwengine Ila Yeye Tu..! Na Hili Halipatikani Isipokuwa Pale Huyu Mwanamke Atakapo Mpenda Mumewe Na Kumpa mapenzi motomoto.
 
Back
Top Bottom