Mke wa mtu sumu tena sumu kali maana sio kila ukionacho kinakufaa

Ackhery

JF-Expert Member
Jan 5, 2021
293
299
Kuna siku jamaa mmoja katika pitapita zake alimwona mdada mzuri kwa mtazamo wake(siwezi sema kwa mtazamo wangu kwasababu kila mtu anatamani kile anachotamani/penda) alikua na shepu nzuri,sura ya kwawaida na bod kwa mbali basi yeye akamtamani

Basi siku nyingine alipomwona akapata shauku ya kumsogelea walau aongee Naye maneno mawili matatu na alipoongea naye wakabadilishana namba za simu kisha jamaa akasepa mida ya usiku wàkaanza kuchat jamaa akashusha mistari yule mdada akasitasita mwishowe alikubali siku chache baadaye jaamaa aliomba mechi na wakapanga sehemu YY yakupigia hiyo mechi

SIKU YA MECHI
Jamaa alijipanga na mdada akajpanga wakakutana wakatomasanatomasana. Ikafika zamu ya kuzama chumvini , sasa jamaa akawa anaingiza naniliuuu kwenye naniliuuu sasa ile anachomoa anakuta kama haichomoki kutoka kwa mdada

Basi jamaa akahisi labda kama anakosea akarudia tena kuchomoa ikagomea kwenye naniliu ya mdada yaani walinatiliana/waligandana

Jamaa alitulia kimyaa humo ndani na huyo mdada mpaka uvumilivu ukawashinda maana walivutana mpaka vijasho viliwatoka eti ilishindikana

Kumbe mdada ni mke Wa mtu walioana na mwenza muda si mrefu na inavoonesha aliyekua kamuoa alimzindika mkewe

Basi wahudumu katika kukuta watu wanachelewa huko ndani wakaamua kuingia kwakuforce ndipo wakastaajabu kuona watu wamegandana basi taarifa zilisambaa mpaka zikamfikia mwenye mke

Na kuwachomoa ni pale ambapo alikuja mwenye mke pamoja na baadhi ya wazee Wa mila. Na jamaa alipewa adhabu Kali na mwenye mke maana alikua amekasilika sana

Tokea hapo jamaa anawaogopa na kuwaheshimu wake za watu

UJUMBE
Tujihadhadhari na wake za watu maana siyo kila ukionacho kinakufaaa!!! Na siyo kila ukitamanicho ndicho. Ndicho utakachokipata maana vingine Mungu yupo kwaajili ya Kukuepusha na jambo baya.

Vipi wewe umshawahi kusikia/kuona wapi tukio kama hili?
 
Wake za watu ni watamu balaa mimi nshapiata na kama 200 almradi tu umetongoza kakubali ila la kujihadhari usibake. Ila ujue pia kuna Jehanam ya Moto na Ziwa liwakalo moto na kuberiti.

TOTE HERI
 
Wahudumu wa nyumba za kulala wageni wanafiadi..
Wanaona mengi sana sana mpaka inatisha. Kama wapo watu wanajua zinaa umefika wapi ni hao wahudumu wa hizo nyumba.

Na nimejifunza mara nyingi na wenyewe wanaishiaga kuwa wazinzi tu, wanapoteza uwezo wa kujizuia maana ni kukuru kakara za kila namna.
 
Mimi Jamaa yangu alikula cha mtu Mashine haisimami mpaka leo
 
Wake za watu ni watamu balaa mimi nshapiata na kama 200 almradi tu umetongoza kakubali ila la kujihadhari usibake. Ila ujue pia kuna Jehanam ya Moto na Ziwa liwakalo moto na kuberiti.

TOTE HERI
Hapo ulipo una marinda kweli au wenye wake zao wameshayafumua?
 
Hadithi Nzuri.....Japo yale matukio yalikuwa kwa ajili ya promotion ya Mganga.

Matukio niliyoyaona ya kula wake za watu ni "KUTATULIWA MARINDA" tu na sio ya KUGANDANA ,ya kugandana ni MOVIE zile.
 
Back
Top Bottom