Mpenzi wangu mlokole ananichanganya na tabia zake

Mpenzi wangu mlokole ananichanganya na tabia zake

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari JF nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana. Asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana Mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa, ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu.

Sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingua naachana naye maana yeye, anaona Mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani.

Hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na Mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
nyie acheni tu napitia kipindi kigumu mno
 
Back
Top Bottom