Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwana Kwetu, Sep 10, 2012.

 1. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka.

  Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba.

  Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti akasema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe.

  Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?

  Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe ukimwi kwa mahousegirl ni hakuna eeeh ! ngoja narudi
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimependa signature yako!
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii nimeshindwa kutoa ushauri haswa pale wake zetu wapojifikiria wao tu
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mwenzako naye anatoka na houseboy ama shamba boy ama muuza genge ama boss wake na wewe huna habari
   
 6. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Yaani Duh! Hakunaga kama JF!
   
 7. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haujaepuka kugombana kwa sababu duniani hakuna siri, kama ipo ni ya mmoja na si zaidi ya hapo.
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Na maisha ya mbele ya huyo Binti umeyafikiria? Na ujue iko siku mkeo atajua tu - jiandae. Pia huyo binti ataanza kukudai kuliko ulivyotayari kutoa.
   
 9. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umenena.
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  He!
  Umeamua kucheat na housegirl ku'rescue' ndoa??..ryte!!!!!
  Swali muhimu la kujiuliza hapa ni 'mpaka lini'???..
  Lingine unaloweza kujiuliza ni 'je mkeo akijua itakuwaje kwa huyo beki3'??
  My take: Two wrongs will never make it right!..umechemsha bro!
  Malizana na mkeo tu na kama itabidi ufanye infedility it will slightly be justifiable kama utaenda mbali ya nyumbani kwako!!
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  acha tu ndugu ? kuna wanawake vicheche kama mahousegirl?
   
 12. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Mkuu muda si mrefu utachonga mzinga hapo kwa hgirl.Mama lazima atakuwa na tatizo la msingi jaribu kuwaona wataalamu otherwise na yeye anamwagika huko nje
   
 13. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unatumia kinga? Kama jibu ni 'hapana', akipata ujauzito?
   
 14. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huo usajili uliompa beki3 ni kwamkopo au? Then housegirl mwenyewe kirukanjia!!!! Kuna heshima hapo tena? Afu utwambie kiwango cha huyo beki 3 kikoje?
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh basi mwenyewe unajiona bonge la kidumeeee. Na umesolv ishu kiutu uzima.. Pole yako unachokifanya wewe jua kuwa ni marudio kwa mkeo kwani mwenzako ashachukua uamuzi kama wako kitambo sana.wewe unastukia kujifunika shuka wakati?? Kumekucha...???
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  MZINZI hakosi SABABU
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Yaani hapo kwa house girl ndio umeharibu kabisaaaaa. Mapenzi ni kikohozi, hayafichiki. Afadhali kama kweli umeshindwa ungetafuta nje, na uwe unatumia kinga.

  Nikwambie, hapo ndani siku zitakavyoenda hg atakolea na atakuja mtolea uvivu "my wife wako". Halafu, huyo hg anaweza kuwa na kijana mwingine, suala ambalo ni hatari zaidi kukuambukiza magonjwa. Aidha, anaweza kuwasilimulia watu wenye nia mbaya na ndoa yenu halafu wakamshauri kuweka mambo hadharani ili mharibikiwe zaidi.

  Kubwa zaidi, jiulize siku ukimkuta na mtu mwingine utamwonea wivu au utatulia tu ? Mambo ya ndoa yanahitaji utatuzi wa wanandoa wenyewe sio kumshirikisha mtu wa nje. Ushukuru Mungu kuwa umeyatoa kwa hg, ungeyatoa kwa yule Dada jirani yako, angezidisha manjonjo mpaka uonje huko, ukishaonja anaongeza manjo njo mpaka uchukue begi na kuhamia kwake kuliko sasa ulivyohamia chumba cha watoto.

  Aidha, elewa kuwa wanawake wana akili sana, huenda anafahamu kuwa unakula hg ndio maana kapunguza mapenzi na wewe, kwa maana kwamba hana tena msisimko na wewe. We acha tu ampate wa nje ambaye anajituma, utamkosa hivi hivi. Wengine wanatumia...n..d..i.....m..i.
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wajanja ndio waliowao
   
 19. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ungejichua tu
   
 20. d

  debon Senior Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uamuzi uliochukua naweza sema ni wa kijinga sana.. Alafu nakuonea huruma maana najua mahousegirl asilimia kubwa ni vicheche hawajatulia hata kama anaandaa meza huku akitembelea magoti. Alafu kingine mkeo atakuwa na tatizo kama anatumia njia za uzazi wa mpango hasa sindano chaweza kuwa chanzo.
   
Loading...