Sijui ni huruma au ni upendo

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,464
6,509
Poleni na majukumu wana JF

Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya ndoa na alishajifungua tayari.

Kipindi cha ujauzito baada ya Mume kugundua mimba siyo ya kwake palitokea mgogoro mkubwa sana hadi kufikia kutengana lakini baadaye Mwanaume amekubali yaishe waendelee na maisha kama kawaida.

Wanaume wa JF mpo tayari kwa jambo kama hilo?
 
Wanaume wa siku hizi Mungu anawaona,
 
Huwez jua huenda mwanaume kapima kagundua hawez kuzaaa
Mwanaume alipoulizwa na Wazazi wake kuhusu Mtoto aliwajibu kuwa Mimba ambayo ilikuwa siyo ya kwake ilitoka hivyo Mtoto aliyezaliwa ni Mtoto wake, jibu ambalo Wazazi hawakukubaliana nalo maana yote hayo yametokea ndani ya mwaka mmoja.
 
Eeeh yye asem tuu ukwel mkuu
 
Poleni na majukumu wana JF

Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya ndoa na alishajifungua tayari.

Kipindi cha ujauzito baada ya Mume kugundua mimba siyo ya kwake palitokea mgogoro mkubwa sana hadi kufikia kutengana lakini baadaye Mwanaume amekubali yaishe waendelee na maisha kama kawaida.

Wanaume wa JF mpo tayari kwa jambo kama hilo?
Hakuna mjadala
FB_IMG_1589782972465.jpg
 
Wewe unakaa na mke wako mbali, na unajua ana nyege za kutosha tu.

Hapo unategemea nini??
Lazima aliwe tu wala hutakiwi kushangaa habari kama hizo kua kapewa mimba huko aliko.
 
Poleni na majukumu wana JF

Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya ndoa na alishajifungua tayari.

Kipindi cha ujauzito baada ya Mume kugundua mimba siyo ya kwake palitokea mgogoro mkubwa sana hadi kufikia kutengana lakini baadaye Mwanaume amekubali yaishe waendelee na maisha kama kawaida.

Wanaume wa JF mpo tayari kwa jambo kama hilo?
Aiseee huyuu jamaaa nna uhakika hatoki chato
 
Jamaa kajiasesi kaona hana uwezo wa kusababisha ujauzito kaamua kukubaliana na mambo yaendelee

Sent using Redmi7
 
Back
Top Bottom