Usihangaike na kuhonga kama msichana hakupend hakupendi tu

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habarin wadau

Leo nimeamua kushare nanyi hii mada ni kwel ckatai pesa ndio kila kitu kwa maisha ya sasa lkn km mwanamke hakupendi jua hakupend tu na hata ukibahatika kuwa nae Takumegea tu ilo penzi kuna mtu huko atakabidhiwa zigo lote ushaur wangu unapomfuata mwanamke pesa zako weka chin ya uvungu kwanza jifanye km vile huna kitu ww ni maskin ili upate mda wa kusoma moyo wake na km ataridhia kuwa nawe ukiona kakubali bila hiyana kisha toa pesa zako anza kushare nae maisha yko kwa akil lkn nakuapia atakupenda daima

Ok tuachane na bra bra embu twende kwenue stor ipo hv jana mida ya asubuh saa 12 npo gongo la mboto natafuta nasi la kivukon aisee from no where basi likafika kituon kwa spid watu wakaanza kugombania nikasema hapa mjin lazima nipite nikawasukuma watu wa mlangon pande zote kulia na kushoto nikaingia wa kwanza kibabe kabisa na kwa ustarabu wa hali ya juu baada ya mm kuingia hapo mlangon palichimbika nikiwa nkmekaa siti ya dirishan huku nikichek zile vurugu kuna mkaka akaja dirishan " bro niikee beg langu langu kwenye siti "

Sikumjibu akapndoka akaja mrembo " kaka nakmba niekee mkoba kwenye siti nikapiga hesabu za fasta fasta mtoto kaumbika nikaona isiwe kesi nikachukua mkoba nikaweka kwenye siti

Kuna mijitu mibish ikataka kukalia mkoba nikaweka mkoba siti ya dirishan huku nikakaa mm iliwasipate nafas kirahis wengine nao wakawa hawatak kuelewa wanataka wakae siti ya dorishan nilipoweka mkoba nikawaambia kuna mtu jaokuwa kaz rahis lakini niliwavimbia demu akaja akakaa safar ikaanza sikutakaka kumvaa nikampa nafas kidogo baadae nikaanza mazungumzo nae tuliongea mengi lkn yote tisa namba ya simu alinitosa

Dah my take usimfanyie mwanamke jambo ili usubor back up km hakupend utapewa asante tu basi kwisha habar yko ww
 
Kakuona boya na mshamba


Nyie ndo unapewa uongozi maofisini mnaanza kuwafitini masela kisa wapo karibu na demu unayemtaka...
Ww ndio boya na mpuuz mm nikimlenda demu nadeal na yy na sio watu wanaomzunguka ila ikitokea ishu ya chpice siwez kukupa kipaumbele ww afu mwanamke nikamweka nyuma

Shwain
 
Hata angekupa namba kama hakukuelewa bado isinge saidia, for instance niliwahi pewa namba na demu, ile kumcheki demu akanikana eti hanikumbuki wala hajawahi mpa mtu namba.
Unajisifia tu !! Ww huwajui wanawake akiwa jot ww kuwa mpok nikupe nwanamke hawek kichwan maneno yko anaweka kichwan vimbwanga vyako akikaa chin akikumbuka tu anabak anafurah tu
 
Siku hizi ni kuwanyanyua miguu na kuwapindisha kisha kuwapa ujira kwa kadri ya huduma iliyotolewa, yale mapenzi ya kukimbizana bustanini na kuliliana ya kihindi hakuna....
 
Back
Top Bottom