The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Kuna salon ya kiume nilikuwa nimezoea sana kwenda..iko very simple
Au tuseme kizamani..haina wadada
Hakuna kuosha nywele..
Muda mwingi wakati unanyoa mnapiga story za mpira na siasa...halafu vijana
Wako fast ..hakuna kupoteza muda..
Dakika kumi nyingi ..done..
Unaweza poteza muda Tu kama kuna story imenoga ukabaki unaendeleza story..
Siku moja nilienda jamaa nikakuta iko Kwenye ukarabati..baada ya ukarabati..
Ndio nimeenda nimekuta mabadiliko..
Kuna wadada watatu..Kwa huduma za scrub na kuosha kichwa.. wameweka na chumba maalum..
Madada wanavaa nusu uchi hivi ..na wameweka Kochi nje wanakaa hapo mipaja waziwazi iliyonona...
Ndani wakianza kukuosha kama wanakutekenya hivi na kukulegezea sauti na macho... Kwa ufupi salon niliyoizoea na kuipenda sababu iko so simple imebadilika na sasa haina tofauti na salon za Sinza na Kinondoni...
Unabaki unajiuliza hapa ni kunyoa Tu nywele na ndevu au kuna biashara ingine inafanyiwa promotion?.
Hizi salon zote za kiume zikija kufanana na salon za Sinza na Kinondoni wengine Tutateseka sana...
Zile salon za kunyoa fast na kwenda zako
Au kusikiliza ubishani WA mpira au siasa zinazidi kupungua..
Sasa nyingi ndio hizi zenye 'sexual tension'
Na wizi wizi nje nje...