Jamaa kachanganyikiwa baada ya kulea mtoto kwa miaka miwili kisha kaambiwa sio wake

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,133
11,124
Mkiambiwa wanawake sio watu wamchezo mchezo kubalini tu, kuna uzi nilishaweka hapa nikiwaambia wanaume pimeni DNA mkihisi mna wasiwasi viumbe mnavyovilea sio vyenu msije mkaja kulia, wanawake wamekuwa wahuni sana sasa hivi unakuta anachukua hela ya matumizi kwa wanaume zaidi ya wawili wote wakijua mtoto ni wao

Kuna jamaa huku Temeke kapagawa baada ya kuilea mimba vizuri tu hadi mtoto kazaliwa na kufikisha miaka miwili , mwanamke kambadilikia na kutokomea kwao akamjulisha kwenye sim tu kuwa kaamua kuaza maisha yake na mtoto aliyekuwa analea sio wa kwake hivyo ampotezee

Jamaa kazimia na kuchanganyikiwa imebidi ndugu wamtulize na kumpa ushauri maana jamaa ni kama alikuwa anataka kujiuwa kabisa

Ila kwa kweli niwashauri tu wanaume tena mkiona mpo na wanawake wasioeleweka vaeni condom tu jamani acheni michezo ya kuruka kavukavu , hata ambao mna wanawake ambao mnzani wanaeleweka kuweni makini sana mkiambiwa watu wanaelea watoto ambao sio wao kubalini tu, wanawake wanachanganya wanaume kwa kasi ya 4G , akipata mimba anapeleka kwa mwanaume mwenye pesa au kwa wanaume wawili anakula pesa kote
 
Huyo naye anachanganyikiwa nini miaka 2 mbona muda mchache , je angekuwa binti kafika chuo? Tena wahanga wakubwa waume za watu, wakiambiwa watulie na wake zao wanaona kama wanabaniwa starehe acha wawasaidie kutunza.
 
Wanaume wengi wanapinda migongo kwa kuamka alfajiri na kulala usiku wa manane wakijua wanatuza watoto wao wasijue wanatunza manii za wanaume wengine.

Kamwe usimwamini mwanamke, akikwambia mtoto ni wa kwako hakikisha mwenyewe. Chukua kucha na nywele peleka private labs, hasa Nairobi.
 
Wanaume wengi wanapinda migongo kwa kuamka alfajiri na kulala usiku wa manane wakijua wanatuza watoto wao wasijue wanatunza manii za wanaume wengine.

Kamwe usimwamini mwanamke, akikwambia mtoto ni wa kwako hakikisha mwenyewe. Chukua kucha na nywele peleka private labs, hasa Nairobi.
Hiyo DNA kabla ya kuwapima wanao uanze kwenda kupima wewe na baba yako ndio utakua umejitendea haki

😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom