Muonekano hausaidii chochote ikiwa wewe ni domo zege

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kichwa cha habari kinajitosheleza nimeona washkaji kibao wanakesha na ukwadu kisa tu ni madomo zege! Mwanaume ukiwa mtu wa kujiamini sana hata kama huna muonekano unaweza kuchukua pisi kali tu
 
Back
Top Bottom