Salam,wanaume tujitahidi kusaka Euro kwa kila hali.Hakuna mwanamke anayependa shida.Tuache usharobaro wa kuchagua kazi,Kama huna hela hata za kumpa mahitaji madogo mpenzi wako unamuweka mazingira...
Kuachwa na mtu unayempenda huwa inauma sana na kama huna moyo wa kustahimili ....
Sasa katika pitapita zetu za hapa na pale huwa tunakutana na watu wa aina nyingi tunawafahamu na tusiowafahamu...
Inaweza tokea ukampenda mtu sana na ukaapa hata iweje hamtakuja kuachana lakini mkaja mkaachana. Mimi kwangu sababu ilikua ni dini.
Wewe sababu yako ilikua nini?
Kuna msemo maarufu miongoni mwa wanaume wapumbavu kuwa eti "WANAWAKE HAWAELEWEKI",huku ni kujazana ujinga na kuwajaza ujinga watoto wetu wa kiume kwa maana kabla hata ya kuja kwa maandiko...
habari!
maisha hayataki mtu goigoi, anaelia lia yanataka mtu mwenye nguvu na mamlaka mwenye kuyaamrisha maisha, kuyaongoza anavyoyataka yeye!
.
maisha hayampendi mtu anaelialia anaelalamika...
Kwema wakuu, Wakati fulani katika harakati za kutafuta mwenza changamoto huwa ni nyingi sana, Sasa kunavitu/characters ambavyo/ambazo unakuwa umeridhika navyo sana kuhusiana na binti/...
Salamu Kaka na Dada
Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa...
Nasikia wadudu huwa wanaongeza hamu ya tendo,Je ni kweli wakuu? Hapa nilipo nipo na ndoo nzima natafuna senene kitakachonitokea sijui. Kama una kitu kingine cha kunishauri kuhusu tendo, tema...
Mwaka 2014 nilikuja Dom kikazi majira kama haya...
aisee mji ulikuwa umechangamka sana. kuanzia Chako ni Chako, Mwanga Bar, Club 84 na Maisha.
kulikuwa na Totozi na ilikuwa raha saana kuja Dom...
Wakuu natumai hamjambo,
Wanaume wengi hua na ndoto yakuchakata bikra but wengi hawafanikiwi coz hawapo katika makundi ambayo ndo yanaongoza kwa utoaji bikra.
Haya ndo makundi yanayoongoza...
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye
umri wangu miaka29
Dini ni mkristo
Kazi nimejiajiri
sifa za msichaa nimtakaye
umri kuanzia 19-26
dini lolote, awe na hofu ya mungu tu...
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri...
Ni changamoto kweli kweli, niko kwenye mahusiano na mwanamke flani hivi ambae ni mke wa mtu yuko ndoani takribani miaka 15 kwa sasa lakini hajabaatika kupata mtoto.
Nilimtongoza kama utani, na...
Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu...
Iwe na maneno uliyoyasikia kwa muda mrefu, leo unawakuta bar wakitafuna nyama choma. Kuna wake wa Mikocheni wanafikiria hajulikani Mbagala, mara unamuona mume wako na taulo kiunoni anatoka kuoga...
Habari za siku wana JamiiForums.
Polen na majukumu ila niwaombe radhi kama nitatumia lugha ya matusi, nia yangu hasa ni kufikisha habari na kuondoa bla bla nisiwachoshe twende kwenye mada
Kwa...
Nakumbuka sana nikiwa darasa la 5. Likizo Mzee akanambia nikamsalimie bibi Mkoani. Nlifurahi maana mara ya mwisho kwenda Mkoani tulikuwa wadogo sana tulikaa kama wiki 2 tu tukarudi Town...
Kwa miaka ya karibuni Talaka zimekua nyingi sana ? Umri wangu Nipo in early 30's na nmekua kwenye relationships kadhaa ambazo hazikuweza ku mature kuja kwenda ndoa lakini pia nmeona watu wangu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.