Maisha bhana, ukiwa mdogo raha sana kwa sababu unakuwa unaletewa kila kitu, ila ukiwa mkubwa sasa inabidi wewe utafute ndio uwaletee watoto na kujikimu mwenyewe.
Inafikia kipindi mambo yote...
Tulikuwa wapenzi miaka kadhaa nyuma.
Tukaachana kwa amani.
Majuzi tukakutana ghafla tena,
Yeye akiwa Kaolewa na Vitoto viwili vizuuriii pacha.
Kiukweli kapendeza hadi Udenda unanichuruzika.Ila...
Hakika wahenga hawakufanya makosa enzi zao katika kutafuta vigezo kabla ya kuoa hii ikiwemo kuchunguza kwa undani familia ya mtu unaetaka kumuoa, hadhi ya familia, nk
Back to my point hivi sasa...
Dear Colleagues,
I am looking for any 'matured Woman' who is single and interested to get a man for A SERIOUS RELATIONSHIP.
CONDITIONS :
1. Should be single without a kid , or Single mother.
2...
Bila shaka jambo lolote haliwezi tokea bila kuwepo kwa dalili.
Katika mahusiano ni dalili zipi zinaweza ashiria kuvunjika kwa mahusiano?
1) Ukianza kujihisi upo pekee (alone) wakati una mpenzi...
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,
Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,
Sijaona wa iringa au...
Ndugu Wana jamvi, ni kwa miaka nimekuwa nikisikia sifa kem kem kuwahusu Mabinti wa Kitanga hasa kuhusiana na uzuri wao wa sura na maumbo na Mambo ya "kwichikwichi'.
Wiki kadhaa zilizopita...
Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au?
Ushauri na mapendekezo
Kwa wale ambao wameingia kwenye mahusiano hasa ya mke na mume au ya mapenzi inapendekezwa mkiishaingia rasimi inakupasa kublokiana ili msiwe mnachunguliana leo umepost nini,status,na umekoment...
Mambo zenu,
Nina boyfriend wangu, my hub ninampenda sana, sasa alinishawishi aniingilie kimapenzi upande wa pili (nyuma) kwa watu wazima hapa mshaelewa namaanisha nini.
Japo na mimi pia nataka...
Eid Mubarak...
Hii iwafikie vijana wote hasa ambao bado hawako stable kimaisha ila wanaendekeza shobo kwa watoto wa kike, huu ni ujinga.
Unakuta dogo hata hela ya vocha hujitafutii wewe ila 24/7...
Kutokana na mafundisho ya dini yangu kwa muda mrefu nilijilazimisha kuamini kwamba kuwa na mke mmoja tu ndo kanuni ya maisha na mpango wa Mungu.
Badae nikafahamu hata vitabu rejea kwa mafundisho...
Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah
Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake...
Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime...
Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu...
Mapenzi haya ndugu zangu.
Unaweza ukawa na mtu kumbe anakutumua tu.
Ukawa na mwanamke anakutumia tu akuchume pesa zako au akutumie tu kama kivuli cha kufikia malengo yake.
Hivyo hivyo kwa...
Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako...
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali...
Hi guys... hope mko POA!
Iko hiv kuna girl mmoja we are in love now! Yaan mapenzi moto-moto hadi shetani anaona wivu..
Tumepanga mipango mingi Sana kwa ajili ya future yetu..
Tuishi pamoja yaan...
Wengi (Sio wote)
Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa.
Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.