Natafuta msicha wa kuoa

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,793
1,941
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye
umri wangu miaka29
Dini ni mkristo
Kazi nimejiajiri

sifa za msichaa nimtakaye
umri kuanzia 19-26
dini lolote, awe na hofu ya mungu tu
Nitashukuru kama atapatikana,
karibu pm kwa maongezi zaidi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom