Ni vigezo vipi unaviangalia kwa binti/ mwanamke ili umfanye awe mwenza wako wa Maisha?

Third eye judge

Senior Member
Aug 9, 2016
133
119
Kwema wakuu, Wakati fulani katika harakati za kutafuta mwenza changamoto huwa ni nyingi sana, Sasa kunavitu/characters ambavyo/ambazo unakuwa umeridhika navyo sana kuhusiana na binti/ mwanamke unayemchumbia, lakini hapohapo kwa ujumla kunakasoro fulani fulani unazibaini Wakati mko katika kipindi Cha kujuana.
Sasa embu tufunguke kidogo hapa Ni vitu gani hasa ambavyo kiukweli ukiviprove kuwa binti unayemchumbia hana au hujaridhika navyo huwezi kabisa kuendelea nae.
 
Sifa kuu za mke Bora
1. Awe na bikra
- joka Jeusi ameshalifafanua Sana ili humu.

2. Awe na upendo kwa watoto
- Namaanisha watoto wa jamii nzima, Ukimuona binti anafokea fokea watoto kaa nae mbali.
Uyo ana element za ukatili na hachelewi kukutoa roho.

3.Heshima kwa jamii nzima
- Sio mwanamke adabu sifuri, vimini, vipedo, vigodoro, misiba ya watu haudhurii, haangalii Wala kujulia Hali wagonjwa, matusi ya nguoni anatamka hadharani.

eti unajidangañya unataka kuweka ndani. Aisee Utakufa siku SI zako.

4. Awe na aibu
-Sio mwanamke anajiamini mno utafikiri dikteta flani,
Mwanamke unamtizama anakukodolea mimacho Kodoo utafikiri Yule wa MAMBO YA NJE.

5. Asiwe mlevi Wala mnywa pombe.
- mwanamke chapombe hafai hata kuchukua namba ake,
K-vant Zikimpanda achelewi kuliwa na wahuni au kumlisha la mama ake BABA ako mzazi.

6. Asiwe mshirikina
- ukiishi na mwanamke mshirikina Hakuna rangi utaacha kuona maisha yako yote.

7. Asiwe mlokole sana
-mwanamke akiwa mlokole Sana, nyumba yako itakua kama kilinge Cha waganga.
Mafuta ya upako, jivu la baraka, maji ya ufunuo na takataka zingine zitanuiziwa nyumban KWAKO.
Pia kiuchumi mkeo atageuka liability, maana kipato chote Cha familia kitaishia kwa manabii uchwara.

8.Awe hakupitia mahusiano mengi Apo kabla.
Mwanamke alopitia mahusiano mengi atakulinganisha sana na wapenz wake wa nyuma.
"Wee unikuni vizuri, Ray alkuaga anaisugua mpk inapata Moto"

Na ukizubaa atamtext ex wake apashe kiporo

9. Awe hajazaa hapo kabla
(asiwe single mother)
- sidhan km Kuna mwanaume anaweza vumilia sarakasi za kumpeleka mtoto akamsalimie baba ake.
Kinachofanyika uko Mungu pekee anajua.

10. Awe mvumilivu kwny shida na Raha.
-Sio mwanake wa vizinga, ombaomba au kwny misiba yako hafiki, hata rambirabi hatoi.
Asiwe Yule ukimwambia huna Ela ananuna

NADHAN ZINATOSHA
 
Wako ndo mwenye sifa zote hizo......Hongera Hakika umejipatia muke
 
Nikigundua ni mchawi, anagawa gawa uchi hovyo....! Napiga chini
Kila mtu ana vigezo vyake ila hiyo ya kugawa papuchi ndio inaongoza kwa kuvunja ndoa. Japo kuna wanaume wengine wanauwezo wa kuvumilia hata kosa hilo.

Vigezo vyangu kwa binti anaenifaa ni;
1. Asiwe malaya
2. Awe na maadili ya dini
3. Asiwe ametokea kwenye familia yenye magonjwa ya kurithi (Athma, Kisukari, Kifafa)
4. Asiwe amelelewa na mzazi mmoja hasa baada ya wazazi wake kutengana
5. Asiwe mfupi sana, mwembamba sana au mnene sana .
6. Asiwe mnywaji pombe
7. Asiwe na mtoto (Single mother)
 
Ok. Unawezaje kuithibitisha namba 8 mkuu.
 
Yaani ni kama vile ulikuwa umejiandaa kabisa kabisa na jibu hili tayari tayari. Umemaliza kila kitu...
 
Mkuu umemaliza yote,na yote yaliyonitokea baada ya kuoa umeyaandika humu.
 
Sridi klozdi.
 
Hiyo namba 4 si kosa lake kukosa malezi ya wazazi 2.
Na hiyo namba 5 vipi akiwa ni mrefu sana kama ngongoti?
Kila mtu ana vigezo vyake ila hiyo ya kugawa papuchi ndio inaongoza kwa kuvunja ndoa. Japo kuna wanaume wengine wanauwezo wa kuvumilia hata kosa hilo.

Vigezo vyangu kwa binti anaenifaa ni;
1. Asiwe malaya
2. Awe na maadili ya dini
3. Asiwe ametokea kwenye familia yenye magonjwa ya kurithi (Athma, Kisukari, Kifafa)
4. Asiwe amelelewa na mzazi mmoja hasa baada ya wazazi wake kutengana
5. Asiwe mfupi sana, mwembamba sana au mnene sana .
6. Asiwe mnywaji pombe
7. Asiwe na mtoto (Single mother)
 
Mi sifa moja tu. Awe na tako basi. Mengine tutajuana huko huko mbele ya safari
Tumblr_l_213270385975673.jpg
 
Hakuna mtu alie mkamilifu, kwahyo ukichunguza dosari huwezi kosa. Kikubwa awe mwanamke anaeweza kuwa mke, yani akalea familia hata kama sipo. Somehow mtu anaeweza kutunza wazazi wangu pia let's say mama anaumwa hawezi kula wala kujisafisha then aweze kusaidia kama mkwe. Awe na hofu na mwili wake na Mwenyezi Mungu pia. Lastly uzuri utamatter pia kwa vile vitu binafsi navipenda kwa mwanamke pamoja na kauli njema.
 
Hii ndo kuu kwangu

Mwanamke ambae hataki kuambiwa kuwa kakosea.

Huyo lazima nipige chini hata akiwa ananilipa mshahara
 
Kwema wakuu, Wakati fulani katika harakati za kutafuta mwenza changamoto huwa ni nyingi sana, Sasa kunavitu/characters ambavyo/ambazo unakuwa umeridhika navyo sana kuhusiana na binti/ mwanamke unayemchumbia, lakini hapohapo kwa ujumla kunakasoro fulani fulani unazibaini Wakati mko katika kipindi Cha kujuana.
Sasa embu tufunguke kidogo hapa Ni vitu gani hasa ambavyo kiukweli ukiviprove kuwa binti unayemchumbia hana au hujaridhika navyo huwezi kabisa kuendelea nae.

Kigezo namba moja kama haombi pesa kijinga jinga,mengine nitavumilia
 
Ok. Unawezaje kuithibitisha namba 8 mkuu.
Utamjua tu,
Wanawake ukimtekenya kidg kwny stori za kawaida utamskia TU akichomekea habar za ex zake.

Ukimfatilia kwa makini mara mbili tatu utagundua stor inayomhusu ex wa leo Ni tofauti na stor inayomhusu ex wa Jana.

Yaan Ni wanaume tofaut tofaut wanaoongelewa.

Au Kama ukitaka ukweli zaidi khs uyo binti unayemchunguza,

Waulize dreva bajaji na bodaboda wanaozengea mazingira anayoishi binti.

watakupa ukweli wa mwanamke yupi Ni bingwa wa kubadilisha wanaume
 
Kwema wakuu, Wakati fulani katika harakati za kutafuta mwenza changamoto huwa ni nyingi sana, Sasa kunavitu/characters ambavyo/ambazo unakuwa umeridhika navyo sana kuhusiana na binti/ mwanamke unayemchumbia, lakini hapohapo kwa ujumla kunakasoro fulani fulani unazibaini Wakati mko katika kipindi Cha kujuana.
Sasa embu tufunguke kidogo hapa Ni vitu gani hasa ambavyo kiukweli ukiviprove kuwa binti unayemchumbia hana au hujaridhika navyo huwezi kabisa kuendelea nae.
Vigozo mara nyingi ni 3.
1- Juu
Huku tunaangalia sura(je, yupo mang'anyu).
2-Katikati
Hapa tunaangalia alicho pewa na Mungu kigezo cha sasa ni Nyuma kama kuna kichuguu.
3-Chini
Hapa tunaangalia guu kama kidogo guu la bia nasi supoku.

Labda kigezo kingine ni kwa ndugu zangu Wasukuma wao wanaangalia rangi.
 
Utamjua tu,
Wanawake ukimtekenya kidg kwny stori za kawaida utamskia TU akichomekea habar za ex zake.

Ukimfatilia kwa makini mara mbili tatu utagundua stor inayomhusu ex wa leo Ni tofauti na stor inayomhusu ex wa Jana.

Yaan Ni wanaume tofaut tofaut wanaoongelewa.

Au Kama ukitaka ukweli zaidi khs uyo binti unayemchunguza,

Waulize dreva bajaji na bodaboda wanaozengea mazingira anayoishi binti.

watakupa ukweli wa mwanamke yupi Ni bingwa wa kubadilisha wanaume
Asee !! Hapa umenena mkuu.
 
Back
Top Bottom