Salamu Kaka na Dada
Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa mwanamke wa kiarabu.
Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache, nimetokea kupenda jamii zao hivyo basi nahitaji kuoa mmoja wao.
Mimi ni Muislam
Miaka 29
Kipato changu ni cha kawaida tu 30 mpaka 100k kwa siku..
Ninajishughulisha na biashara tu hapa mjini.
Similiki vitu vikuubwa kama gari, nyumba n.k
Nimepanga tu chumba na sebule...japokuwa nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kimaisha
...
Kwa utambulisho huo wa haraka naomba kupata muongozo wa jinsi ya kumuoa mwanamke mwenye asili ya kiarabu au ikishindikana hata halfcast itakuwa vizuri...mwenye connection naomba pia...Natanguliza shukrani...