Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Ni changamoto kweli kweli, niko kwenye mahusiano na mwanamke flani hivi ambae ni mke wa mtu yuko ndoani takribani miaka 15 kwa sasa lakini hajabaatika kupata mtoto.
Nilimtongoza kama utani, na siku ya kwanza kukutana nae ndio siku hiyo hiyo nikampatia Ujauzito, ingawa haikuwa dhumuni langu lakini kumbe yeye alikuja kwa kutega. Na alikuja kuniambia baada ya kupima na kukutwa na ujauzito.
Kweli alishukuru sana kwa kuwa hakuwahi kushika ujauzito kipindi chote alichokuwa ndoani na mumewe, ingawa mumewe ana watoto kadhaa nje ya ndoa yake.
nilifadhaika kiasi kwa kuwa alikuwa ni mke wa mtu, na maswali mengi nilikuwa najiuliza kuhusu huyo mtoto siku akizaliwa na ikigundulika kuwa ni wa kwangu itakuaje? Ingawa tayari mimba ilishakabidhiwa kwa mume wake wa ndoa na ndio mwenye jukumu la kulea.
Baada ya miezi minne ya ujauzito wake ilitokea shida mimba ikatoka (alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo )
Nami ndio sasa nikapumua na kusema hakika nimetua mzigo uliokuwa unanielemea.
Shida kubwa ndio imekuja sasa, huyo mwanamke baada ya kupona tu kipindi alichokuwa anajiuguza cha kuondokewa na ujauzito wake.
Anataka tukutane nimpatie mimba Nyingine, anasema hawezi kuishi bila mtoto na mimi pekee ndie anahisi ninaweza kumfichia Aibu kubwa aliyokuwa nayo,.
Yupo tayari kwenda popote pamoja nami ili tu nimtimizie adhma yake ya kumpatia mtoto.
Kusema kweli niko njia ya panda ukizingatia yeye ni mke wa mtu, kweli naweza mtimizia lakini nikifikiria huo uke ni uke wa mtu,
Siku mumewe akija kujua nimetembea na mkewe na mpaka kufikia hatua ya kumpa ujauzito sijui itakuwaje.
Niko njia ya panda wakuu na sijui ata nifanye nini? Mwanzo nilijiona nimekosea lakini sasa sijui ata nifanye nini tena maana naumia hata mimi kila nikimtazama huyo mwanamke.
Ushauri wenu.
Cc Zero IQ