Ukipata Mwanaume ambaye alitahiriwa bila ganzi... Haya ndo mambo ambayo utaelezea wenzio

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Nakumbuka sana nikiwa darasa la 5. Likizo Mzee akanambia nikamsalimie bibi Mkoani. Nlifurahi maana mara ya mwisho kwenda Mkoani tulikuwa wadogo sana tulikaa kama wiki 2 tu tukarudi Town.

Nilipakizwa kwenye Bus miaka hiyo stand ipo Mnazi mmoja.huyooo....mkoani.

Baada ya kufika nlipumzika wiki moja nadhani bibi akifanya mchakato na kutengeneza miundo mbinu.then siku moja akasema tunaenda porini mimi na wenzangu.

Huko ndo tulienda kwanza tukapewa darsa kama siku nzima hivi. Then kesho yake...tulienda pigwa kisu...bila ganzi babaake...ile kiume ume hasa.kijeshi,kikatili,kikafili ,kijasili...iliuma sana.

Huruhusiwi kulia.umepewa kijiti umeuma kwenye meno watu wanakata foreskin zinakusanywa moja moja zinaenda dumbukizwa kwenye pipa la moto.zinaungua humo unapakwa dawa ya kuzuia damu unaachiw tayari.

Miaka mingi baadaye nikaja kugundua ile kitu ilikuwa swadakta sana...inaimarisha mishipa na mashine ikisimama unaiona kabisa inasimama kwa hasira michirizi inapita kuzunguka mashine.halafu inakuwa kama inafoka hivi....kama cobra anataka kugonga mtu.

Mademu huwa wanasema hizi mashine zinapiga balaa....mwanzo mwisho....wengi husimulia.mashine imegangamaa kama ukuni...chapa sana bakora...huku ikitema mate kwa hasira.

Hii yote sababu ya kumbukumbu za miaka ile. Kwa style hiyo mtu anaanzaje kuwa shoga?ni ngumu.hawa wa hospital hawa ndo mwishowe huwa mashoga.hawajapitia unaume.

Sisi wa namna hii tunachapa pumbu kinoma kwa hasira na ushupavu na wadada wengi watakwambia hili...sababu mashine yenyewe tu ikisimama inasimama huku inaangalia juu kidizani...

Vijana mlikosea sana kutahiriwa hospitalini.leo hii mnasumbua sumbua humu ndani kulia lia kila sababu. Acheni tu sisi tupige pumbu tumepitia mateso,hali ngumu na ukakamavu.
 
IMG-20200817-WA0019.jpg
 
Hivi mila za kutahiri bila ganzi maporini bado zipo mijini? Mara ya mwisho kushuhudia mikole ya wamakonde/wazaramo ilikuwa 1987.
 
Kwa namna moja Uzi umenitouch it deserve kwa kweli, mi ni shuhuda ktk hilo Sir jandoni bana halaf ukilia unaambiwa ni MIIKO then unapewa DAFU UNAKUNYWA MAJI YA DAFU Then unanyamaza kulia wakt MBOO inanyesha Damu tu.

Daah! ni maumivu asee, pia kila cku asubuhi ni mazoezi bila Kuvaa nguo na huruhusiw kulala mapema mpaka kila MTU amalize kazi alopewa na ukipata KIU ni mwendo wa Kunywa TOGWA tu No SODA wala JUICE huko. Yaan ni maisha ya KIBUSH MAN zaidi.

Nowadays naiona faida ya Kukaa Jando. Napiga tatu bila kuchomoa then zingine 15 minutes later napga Mashine. Raha sana Uswahilini.
 
Unasoma unaelewa kweli? Uwe unasoma kwa utulivu na kuelewa.nimekwambia yeye alinambia tunaenda porini mimi na wenzangu sasa wapi nmesema alinipeleka?ndo maana mna fail kizembe.😂😂😂😂😂

Cc wamasai ndio tunatairiwa. Bila ganzi wee hyo umeitoa wapi utakuwa umeadiziwa afu ulikosea ulivyomtaja bb et kukupeleka kutairiwaa porin kabila gan wew mkuu?
 
Back
Top Bottom