Haya ndo maisha, tunakumbushana tu!

Haya ndo maisha, tunakumbushana tu!

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
498
Reaction score
955
habari!
maisha hayataki mtu goigoi, anaelia lia yanataka mtu mwenye nguvu na mamlaka mwenye kuyaamrisha maisha, kuyaongoza anavyoyataka yeye!
.
maisha hayampendi mtu anaelialia anaelalamika, anayetafuta huruma, anayejidai mnyenyekevu, maisha yana upendeleo kwa mwenye kuyaamrisha kwa amri ya kimalaka tu!
.
maisha hayana huruma na elimu yako sijui ulikua na akili ya kufaulu mitihani, uzuri wako upole wako, maisha yana taka amri!

poleni kwa covis19
 

Attachments

  • On_my_way_lyrics_-_Alan_walker,_Sabrina_Carpenter,_Farruko(1080p).mp4
    5.1 MB
  • 50 cent (Explicit) 'Hustler' (Lyrics) 2014 (Animal Ambition).mp4
    5.2 MB
habari!
maisha hayataki mtu goigoi, anaelia lia yanataka mtu mwenye nguvu na mamlaka mwenye kuyaamrisha maisha, kuyaongoza anavyoyataka yeye!
.
maisha hayampendi mtu anaelialia anaelalamika, anayetafuta huruma, anayejidai mnyenyekevu, maisha yana upendeleo kwa mwenye kuyaamrisha kwa amri ya kimalaka tu!
.
maisha hayana huruma na elimu yako sijui ulikua na akili ya kufaulu mitihani, uzuri wako upole wako, maisha yana taka amri!

poleni kwa covis19
Mkuu nmekusoma sana asante kwa uzi murua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa maisha ya dunia yanahitaji wenye nguvu pia ufalme wa mbingu unatekwa na wenye nguvu hivi sisi wapole wapole ndo tunakufa na corona et..?
 
Life is a jungle
Life can be very unfair sometimes
But life is good
Fight for a better life
 
maisha ni tatizo ambalo tupo duniani kulitatua
 
Back
Top Bottom