Natafuta binti wa kuanzisha familia

dealkubwa

Senior Member
Jul 1, 2020
144
584
Sifa zangu

Miaka yangu 33

Kaz biashara ndogo ndogo

Kabila sukuma /nyamwezi

Makaz dsm

Dini roman mkristo

Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278

Vigezo vya mke

Asiwe na mtoto

Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi

Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu

Awe na hofu ya mungu
FB_IMG_16080990892776010.jpg
 
View attachment 1706935
Nakuombea
 
Huu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?

Nakuombea upate mke mwema.
 
Njoo pm, tuyajenge yajayo
 
Sifa zangu

Miaka yangu 33

Kaz biashara ndogo ndogo

Kabila sukuma /nyamwezi

Makaz dsm

Dini roman mkristo

Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278

Vigezo vya mke

Asiwe na mtoto

Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi

Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu

Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Mkuu kila la kheri

Hiyo funguo umening'iniza hapo ni ya IST au Altezza? Hiyo ungeiweka wazi mapema ni added advantage kwa wachuchu wa JF

Afu yule Paula wa Kajala ana miaka 20 hivi sasa, jina linaelekea ni la ukolomojeni, hebu India Insta fasta ujaribu bahati yako mwanawane
 
Huu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?

Nakuombea upate mke mwema.
Huna hata mdogo wako au shosti wako akaokoe jahazi kwa ngosha? Asidharau kwa kuwa anafanya biashara ndogo.. blaza bado ako jengo jeupe anaweza kumtoa pale wizara ya viwanda na biashara
 
Wa mitandaoni hawaaminiki kama ningekutana nae mtaani ningempa mdada mzuri mtoto wa rafiki yangu she is just 25 ana kazi ,mama yake mambo safi😂.hawa wa mitandaoni hapana

Embu piga picha watakaompigia leo ni wa ngapi?
Kati yao atakutana na wangapi kuchagua?

Kati ya atakaokutana nao wangapi atawla kimasihara?

Vip wewe hutaki kuongeza mke wa 3? Maana wa pili sky anajulikana.wa kwanza first lady mama lao😂😂😂
 
Asa ningetaka wa tatu unadhani wewe ungekuwa wapi muda huu? Au kwakuwa na mimi wa mitandaoni ungenipiga chini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom