Msaada Pombe Vs Wanawake

Msaada Pombe Vs Wanawake

baba_

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
121
Reaction score
86
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
 
Subiri ikushikishe adabu..utapenda tu wanawake
Mkuu labda nipate maradhi ila naona pombe kupata nitatumia mda kupata ila mademu nitakuwa kweny risk sana
 
Aiseee pole inabidi ukafanyiwe maombi,
pia kama ndani mwako kuna vitu kama pombe na ambavyo in masalia ya pombe inatakiwa uyatoe
Anza kwa kupunguza kiasi cha unywaji yaani kaama ulikua unakunywa bia/Lita 6 kwasiku basi anza kupunguza taratibu na kuanza kunywa 4,3,2&1
 
Back
Top Bottom