ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,979
- 61,187
Tusemeni tu ukweli wanaume kwenye suala la ku tunza akiba aisee ni 0 yaani tunatumia hela yote hatuwezi kuweka pesa ni Bora chenji chenji tuwe tunawapa wanawake zetu siku una shida hata ya buku kadhaa anakutoa mkeo.