Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana Jambi wa humu ndani. Natumai mu wazima kabisa. Leo nataka niwasanue (niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo). Ukubali ukatae, wengi...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wakuu. Jana nililala na mtoto mmoja wa kike hapa kwangu, asubuhi kulivyokucha akaoga fresh ili awahi kazini kwake ila kilichonishangaza amejidai kusahau chupi yake bafuni, hajanijulisha...
18 Reactions
122 Replies
13K Views
Habari wana Jf naimani mko powa sana... Niende kwenye mada mmoja kwa moja. Hii imetokea leo bi dada karudi nyumbani kutoka katika mishe zake. Kakuta mtoto wake wa kike umri miaka 8 na mtoto wa...
4 Reactions
81 Replies
11K Views
Wakuu dunia imejaa misukosuko ya kila namna.. Mwezi iliopita nimekutana na mrembo wa maisha..yani mwanamke nlietamani niwe nae maishani mwangu ndo amekuja wakati ambao sio sahihi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu, kuna mrembo moja humu!! Famous sema siku izi simwoni mwoni humu. Nikiri sikumjulia Jf ila mazoea yangu na yeye yaliniwezesha kuinasa ID yake. Hata akijitokeza kwenye huu uzi sawa, siogopi...
29 Reactions
571 Replies
87K Views
Habarini wana jamvi. Natumai my wazima humu. Kiukweli bila kupepesa macho, imebidi ty niliyotoe La moyoni. Mahusiano ambayo mwanaume anazidisha upole kwa kudhani ndo anakuwa romantic huwa ni ya...
15 Reactions
56 Replies
7K Views
Hili tatizo linazidi kukua kwa kasi ya ajabu na wahanga ama wanapotoshwa tiba na kinga ama hawajui cha kufanya huku wengi wakifanya ni siri kubwa...na kati yao wapo wa makundi matatu hivi...
25 Reactions
127 Replies
11K Views
Umri:26 Elimu:stashahada Makazi:dar Kazi: mtumishi wa serikali Bado sijajenga nipo kwenye mchakato wa kurekebisha maendeleo. Mwanamke ninayemhitaji: Umri: 21-24 Elimu kuanzia form IV kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Wadau mnisaidie, niko katika umri ninaotakiwa kuoa. Lakini siku zote nimekuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa Kinyarwanda na hasa awe Mtutsi. Navutiwa kwa urembo wao ila sijui tabia zao. Anayewajua...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Mabaharia Ulizipokeaje taarifa za kuwa unatarajia kuwa mzazi kwa mara ya kwanza je, ulikuwa umejiandaa tayari? Au ulikuwa upo unahustle maisha hayajaeleweka bado? Uliwezaje kukabiliana na...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Habarini humu ndani. Kuna vitu vinashangaza sana, hasa mtu anapokwambia tafuta pesa hutoteswa na mapenzi, Mara ooh six pack watoto watakukimbilia, Mara mdekezee tu ndo kitu wanapendagaa, hapo...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Namuona mke namtoto wangu wamelala, mke hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu Saa 6 usiku.good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno ananiuliza vi[i...
2 Reactions
96 Replies
14K Views
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache. Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose...
5 Reactions
108 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, Poleni na Majukumu ya kutafuta Mkate wa kila siku. Haya maisha yana mambo mengi sana na watu tuko wengi sana yapata Bilioni 7 duniani nlivyotazama mara ya mwisho, Maisha...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari za muda huu wana JF! Ni muda mrefu nimekuwa nikisikia hii habari/imani ya baadhi ya sisi wanaume na baadhi ya wavulana. Imani yenyewe ni kuwa Mwanaume aliyekubikiri halafu mkaachana ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Nawasalimu katika Jina Kuu la Bwana wetu Yesu Kristo lipitalo majina yote. Ni wakati mwingine tena ambao kwa upendeleo Mungu ametupa hapa duniani kuwepo na ni jambo la...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi WL na si mtu mwingine. Nahitaji Mwanaume Hanithi. Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga. Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha. Awe na malengo ya kuoa...
4 Reactions
131 Replies
28K Views
Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga...
18 Reactions
45 Replies
4K Views
Katika maisha yangu nilikuwa na furaha na Amani na nilikuwa single kabisa sio wote walio single wanastress. Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but...
29 Reactions
177 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…