Msijidanganye, hakuna cha kumtuliza mwanamke, omba Mungu akujalie anaejua thamani yake tu

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini humu ndani.

Kuna vitu vinashangaza sana, hasa mtu anapokwambia tafuta pesa hutoteswa na mapenzi, Mara ooh six pack watoto watakukimbilia, Mara mdekezee tu ndo kitu wanapendagaa, hapo wakuu Hamna lolote la maanaa la kumfanya mwanamke atulie na wwe.

Utafanya yote na uamuzi utabaki kwake ,kumtunuku anaetaka ampe. Cha muhimu omba mungu akupe mwanamke anayejua thamani yake, anayejiheshimu na kukuheshimu pia zaid ya hapo bado utakuwa unawadekezea na kuwatunzia wenzio na yeye anayetunziwa na kuna mtu anamtunzia

Nb: shtuka shtuka mkuu haupo mwenyewe palee usivimbe.
 
weeee Jamaaa umeongea ukweli mtukufu.... anaebisha aniulize mimi....
 
Wanawake wanalalamika, wanaume wanalalamika. Kwa hiyo tuseme tu hakuna binadamu mwaminifu. Exactly wote tuna matamanio, wote tunapenda penda kubadilisha mboga na wote tunapenda kulalamika.

Hayo ndo maisha, tuelewage mweh. Ngoma droo.
 
Umezunguka sana,wanawake wana tabia ya kupenda + kuchagua mabwana/wanaume walio fanana nao kisura!

Fanya utafiti,utanipa mrejesho...Au naongea uongo wakina dada mliopo humu???
 
we tafuta hela kiwango ukianza kubishana na mke wako ...umwambie stop let discuss this into dubai...kesho twende tukazozanie dubai...
 
Habarini humu ndani.

Kuna vitu vinashangaza sana, hasa mtu anapokwambia tafuta pesa hutoteswa na mapenzi, Mara ooh six pack watoto watakukimbilia, Mara mdekezee tu ndo kitu wanapendagaa, hapo wakuu Hamna lolote la maanaa la kumfanya mwanamke atulie na wwe.

Utafanya yote na uamuzi utabaki kwake ,kumtunuku anaetaka ampe. Cha muhimu omba mungu akupe mwanamke anayejua thamani yake, anayejiheshimu na kukuheshimu pia zaid ya hapo bado utakuwa unawadekezea na kuwatunzia wenzio na yeye anayetunziwa na kuna MTU anamtunzia

Nb: shtuka shtuka mkuu haupo mwenyewe palee usivimbe..!
Ukweli ndo huo zingine ni propaganda hawa ni viumbe ni wa ajabu
 
Back
Top Bottom