JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 705
- 1,070
Habari wana Jf naimani mko powa sana...
Niende kwenye mada mmoja kwa moja. Hii imetokea leo bi dada karudi nyumbani kutoka katika mishe zake.
Kakuta mtoto wake wa kike umri miaka 8 na mtoto wa mdogo wake umri nae miaka 8 wakiwa wamejifunika uku wa kike akiwa kashusha chu**p .
Kashikwa na butwaa ndipo aliponieleza nikamwambia solution sio kuwachapa ni kuwapa elimu .
Nimekosea ndugu zangu. Mwenye ushauri zaidi naomba ili tujue tunawasaidiaje hawa watoto.
Nawasilisha...