Natamani angekua pekeake

gidume

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
743
906
Wakuu dunia imejaa misukosuko ya kila namna..

Mwezi iliopita nimekutana na mrembo wa maisha..yani mwanamke nlietamani niwe nae maishani mwangu ndo amekuja wakati ambao sio sahihi..

Nimemsafirisha wife kaenda kupumzika kidogo baada ya pirika nyingi za kazi ameenda kuvuta pumzi kwao kama mwezi hivi..

Kuna mchuchu nlikua namfukuzia kuanzia mwaka unaanza bas hatimae na huu upweke niliokua nao ameingia kwenye mtego adi sasa tumeshafanya vyote..huyu mwanamke ningekua sijaoa ningetangaza ndoa week hili hili ..

Natamani siku akijua nimeoa aseme tu nione mke wa pili sitochelewesha kabisa ingawa nahisi akijua ndo itakua mwisho wetu na atakua amenipa pigo kubwa sana tena..kwann dunia haipumziki na matukio? Mara hili mara hili..kweli diamond plutnums aliimba ‘sikomi’

Ananihimiza sana niende nikajitambulishe kwao kama ntakua serious na kama sina mpango nimwambie kabisa,nasita sbb naweza porwa tonge mdomoni,akimpata mwanaume mwenye machachali yake ambae yupo single hamcheleweshi..sasa mimi nataka niunde tume au nimtoe nyumbani kihuni alaf nimpe mimba nipate uhuru akiwa katika himaya yangu..yani nimpangie nimpe kila kitu na mimba juu nimuahidi ndoa mwakani au mwaka kesho kutwa..je familia ya kichaga itanielewa kweli..na zile mahali zao za mil 6 si bora nimwambie nimfungulie ofisi..itaswii kweli

Em tushauriane mabaharia mliopitia vitu kama hivi mlifanyaje..

Kama huna la kuongea Vaa barakoa
 
Haya mambo ya vijana...mimi ngoja niendelee kupiga nyungu.
20210223_115107.jpg
 
Huwa Nashangaa Sana mtu anampondanganya na kucheza na hisia za mwenzake namna hiii...

Aiseee.... You guys don't know how it hurts kuwaste someone's time.
Na nawaza ndiyo hawa hawa tunakutana nao mitaani huko unakua deep inlove kwake kumbe limeshaoa huko aargh! Bora akwambie mapema ujue kama utaendelea kuwa side chick ama lah. Siyo fair kabisa wanaume nyie🤔🤔
 
Watu watakusema ila ukweli ni kwamba kuna watu (wake kwa waume) huwa na bahati mbaya ya kukutana na wale wanaowapenda haswa, soulmates wao perhaps , wakati wakiwa tayari wameshaoa ama kuolewa....and it's probably the best & the worst feeling all in one 🥴🥴

Poleni sana wewe,mkeo na huyo dada maana hapo maumivu hayakwepeki!
 
Watu watakusema ila ukweli ni kwamba kuna watu (wake kwa waume) huwa na bahati mbaya ya kukutana na wale wanaowapenda haswa, soulmates wao perhaps , wakati wakiwa tayari wameshaoa ama kuolewa....and it's probably the best & the worst feeling all in one

Poleni sana wewe,mkeo na huyo dada maana hapo maumivu hayakwepeki!
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.
 
Na nawaza ndiyo hawa hawa tunakutana nao mitaani huko unakua deep inlove kwake kumbe limeshaoa huko aargh! Bora akwambie mapema ujue kama utaendelea kuwa side chick ama lah. Siyo fair kabisa wanaume nyie
Wallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...

Wanao waroga nawawaroge TU....shwain kabisa
 
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.
I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!

Anyway...pole sana ila ulikosea kuoa mtu ambae hukuwa unafurahia kuwa nae toka mwanzo.

Alafu if I may ask....nani aliyeoa?? Nani anaeishi na mkeo??? Wazazi au wewe??🙄🙄 Fanya maamuzi yako binafsi na mwenzie ili kuepushiana maumivu zaidi.
 
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.
"kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu"

MKUUU KUOA NAPO ULILAZIMISHWA NA WAZAZI?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom