Tarehe ambayo sitoisahau

Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
Pole sana kaka, binadamu sis ni wakatili sana heri wanyama
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa

Ukisema muuaji yupo huru una maana sheria haikuchukua mkondo ama yeye ni baba mkwe wa sheria? Ilikuaje akamchinja dada'ko?
 
Dah pole sana.... apumzike kwa amani
Tushirikishe, kwanini aliuwawa?

lara 1 alianzisha perereee hapa kuhusu kaka Mond na Abuse ya wanawake, though alishambuliwa sana na pro Mond ila ujumbe ulifika na dunia ilijua na kwa kiwango fulani imempotezea eligibility huyu de Mond...hapo ni abuse tu, kwanini na huyu ndugu asiweke hili lake la kifo ambalo ni kubwa kuliko abuse?
 
Ha ha ha ha nicheke kumbe nawewe ni muumini wa hizo chai
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
kifo cha kikatili sana hiki, inaonekana kilitokana na wivu na hasira,
 
Back
Top Bottom