Ushawahi kulazimisha penzi?

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
6,331
10,752
Katika maisha yangu nilikuwa na furaha na Amani na nilikuwa single kabisa sio wote walio single wanastress.

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno but hata ukituma msg anasoma, hajibu akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi(Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu au kuombea Dua mbaya.

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA.

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani.

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako.
 
"Kumissiwa hakuombwi" (Huu ni ukweli mchungu)

Anyway nakuunga mkono hapo uliposema siyo kila aliye single ana stress. Tatizo ni kwamba watu wanakariri sana maisha.
Kweli kabisa... Mtu huwezi muomba akumiss...but Kama wapenzi hamjaonana let's say week Tatu..unaweza tegema mwenzako nae atakuwa amekumiss...

But nadhani ....mtu akiwa hajali hisia zako ndo hua Anakujibu atakavyo....
 
Back
Top Bottom