Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana age 20's nina ndoto ya kuja kuwa na familia yenye furaha,amani,upendo na kumtukuza mungu pia naamin mungu atafanya kweli juu ya tumaini langu hili Sina mke mchumba Wala mtoto ila...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamvini hodi!! Natumaini mko wazima na sherehe ya pasaka kwa wakristo Awali ya yote nimeona vyema kuuliza kiswali hiki Kwa nini wanaume tusiona Pete ya ndoa tunaogopewa sana kuliko wanaume...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Habarini , naamini kichwa kinajieleza. Kwa upande wangu katika vitu vinavyokera hiki ni kimoja wapo. Ushawahi kumpigia mtu simu( MTU wako wa karibu ) halafu akakuuliza we nani, na mlikuwa na...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenda tezi na OMO. Kumekuwa na nyuzi nyingi za watu kulialia kuhusu kuliwa wake zao, wengine kwenda mbali zaidi kiasi cha kutoona umuhimu wa NDOA kwa yale wanayoyashuhuduia. Ni ukweli ulio wazi...
23 Reactions
210 Replies
24K Views
The family was at the dining table. The little 10-year-old girl wasn't eating and had her nose in her plate…. After a few moments, she said, “I’ve something to tell you people” Silence around...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
ushauri baaazeee... ...Inakuwaje pale baada ya kusota madarasani vya kutosha, na kujipatia Qualifications nzuri, na a dream job inayokamilisha 95% ya matakwa ya maisha ikiwemo a dream car...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau amani iwe kwenu. Nakumbuka kuna mada fulanifulani nilizowahi kuleta humu kuhusu mimi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wangu wa hesabu. Sasa ukweli wenyewe ni huu, Je ilikuwaje...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata...
14 Reactions
101 Replies
14K Views
Imemtokea mdogo wangu ukoo mmoja saivi anazidi kukonda tu: umri wa wote ni kati ya 21-27. Alimpenda dada mmoja 2018,mtoto wa kike nae alimpenda pia jamaa akawa serious nae na kutangaza kuishi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Sina nia ya kukashfu wa kutukana kabila la mtu, ila hapa natoa mtazamo wangu mimi kama mtimawachi. Tukija kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinakiri kabisa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Tumeaswa...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Yaani msichana anaweka x videos kwenye simu na mpo kwenye 6×6 anaanza kuangalia, alaf anachukua dushe, analiweka kwa juu anataka umsugue mpaka anapizi, then ndo na anakuwekea na wewe ili walau...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Mayalla na Mshana Jr (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS...
4 Reactions
9 Replies
967 Views
Ndugu zangu natanguliza salaam, Kwenye tembea tembea zangu kuna bint nimekutana nae nimevutiwa nae na nafikilia kumuoa bint wa kingindo mwenyeji wa kilwa na mimi ni mmanyema mwenyeji wa kigoma...
3 Reactions
66 Replies
17K Views
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari wana MMU. Mchawi sio pesa. Katika mazingira yeyote yale wale wanapenda kupelekewa moto. Haijalishi una pesa au hauna, wewe peleka moto. Ukitaka kupoteza pesa zako basi puuzia suala la...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Dunia ya Sasa imejaa ufitini rafiki kawa adui hakuna wa kumuamini kweli kikulacho ki nguoni mwako maendeleo yako rafiki anakasirika mtu unampa Siri yeye anazivujisha kwa maslahi yake akati...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Wakuu, Nimeona leo nichangamshe jamvi kwa kuomba tujadili nini cha kufanya pale ambapo mwanaume unakua umepata mtoto... we usually get very excited when our loved ones are expecting and we get...
3 Reactions
81 Replies
7K Views
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania, Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm? A friend of mine ameolewa na anampenda...
2 Reactions
108 Replies
54K Views
Back
Top Bottom