Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,431
2,000
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.

Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.

Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.

Be humble, you will not stumble.
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
5,996
2,000
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.

Ila mama umri ushaenda kutokufanya hayo haiashangazi
 
magasi jnr

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
267
500
Kila pande kuna ushuzi tu mbona kuna wanaume tunaanza zero na wanawake kimaendeleo lakini mambo yanapokuwa mazuri tunawasahau pamoja na kuvumilia ahadi hewa zetu? Mambo mengine ni busara za mhusika
Period
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,928
2,000
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.

Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.

Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.

Be humble, you will not stumble.
Ngoja waje mkuu.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,504
2,000
Msisahau kutuma na ya kutolea....

Hela ya mwanaume huliwa na mwanamke...

Hela ya mwanaume taamuu, nikipewa sijivungi wala siikati... ila katu siombi....

Mahaba ndo mpango mzima, tulishane tukishiba kila mtu akalale kwake... wenye ndoa mzitunze.

Ajuza Matata K.
 
barutirashid

JF-Expert Member
Jun 24, 2014
376
250
Kila pande kuna ushuzi tu mbona kuna wanaume tunaanza zero na wanawake kimaendeleo lakini mambo yanapokuwa mazuri tunawasahau pamoja na kuvumilia ahadi hewa zetu? Mambo mengine ni busara za mhusika
Bro kuanza ziro ndio kupoje
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
511
1,000
Vichupi unjano shemkupule mapesa ngoja waje wakupe povu la laki mbili oooohooooo
Shauli yako,shauli yako weeeeeee

Ila madame wetu kichwa aisee daaa
Yaani ukipata wife material kama yeye hata kufa utavuta vuta kimtindo japo ka kiinua mgongo utakula sasaaa
Upate wale Dada zetu wa kuleeee kwenye kilele cha Afrika,
Mankaaaaaaaaaaaaaa Zuma

Wifwa wilola mgoyo

Wanyalu mshanielewa hiyo lugha

(Utakufa unajiona mwanaume)
 
Mr_X

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,149
2,000
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.

Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.

Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.

Be humble, you will not stumble.
Mkuu unauhakika gani anamuheshimu mumewe, usikute mwanaume mwenzetu kakubali kuwa mpole maisha yaendelee

Waswahili wanasema, ukiona ndoa imedumu muda mrefu, ujue mmoja wapo kakubali kuwa mjinga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom