Kimbembe...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimbembe...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Feb 16, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ushauri baaazeee...

  ...Inakuwaje pale baada ya kusota madarasani vya kutosha, na kujipatia Qualifications nzuri, na a dream job inayokamilisha 95% ya matakwa ya maisha ikiwemo a dream car, financial stability na best accomodation money can afford, unakumbana na Top female Executive ambaye haoni, hasikii wala hataki kukubali neno "NO!" toka kwako ili ukajirushe naye...

  kimbembe, mashaka na hofu ni pale hata hajali kwamba upo kwenye ndoa imara, tena unajivunia hata kwenda na Wife kwenye (office) family days out na party za kazini i.e hata yeye anamjua (wife) fika!...

  Inakuwaje hapa? inabidi kujirusha naye kuukata mzizi wa fitna, au kuuchuna na kusubiria 'after effects of a woman scorned!'
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hahaha..kweli kimbebe...hapo unaanza kutafuta kazi sehemu nyingine huku ukimbembeleza kuwa unaweza mambo sawa...ukishapata tu unaresign within 24 hrs....of course utafanya hivyo if you care!

  manake kuna wengine watasema "aaaah...kwani kuna nini kama noma na iwe noma"
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kaizer, it's a dream job! yaani kuiachia hivi hivi tu?, ...safari za hapa na pale pamoja na marupurupu ya kumwaga, ...hakuna stress za kijinga jinga, subordinates wako makini na kazi zao,... shida huyu Executive tu.

  ...anauwezo wa kung'ang'ania working lunches ofisini kwake, na daily after-hours briefings zisizo na kichwa wala miguu...

  Sijui itakuwaje coming 'farm trips', na inapobidi kushare hotel ... ndio itabidi kujisingizia mwanaume mzima 'upo period'? maana duuuh, kushare same hotel, same corridor, adjascent rooms na huyu Zimwi ndio mwanzo wa kubakwa!
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hahahah mkuu Mbu, talking of a dream job, mkuu hiyo ndo opportunity cost ya wewe kuacha kazi for the sake of ur relationship, kwa sababu hapo tayari ipo kwenye ndoa tena tamu, sasa hapo ukiangalia hatari za kujiingiza kichwa kichwa ni kwamba lazima utaharibu home, of which you dont like mkuu

  unless uniambie kuwa unaweza kuformalize that na mamsapu wako! kwamba bosi 'anakutaka' na bila ivo unaweza kufukuzwa kazi LOL
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ewe Kaizer wewe, kumwambia mamsapu, tena hawa wetu wa Kibongo eti bosi 'mwanamke' anakutaka mnhhh...ataona ushamgega ila unataka tu kujitetea! maana akikumbukia huyo bosi alivyokuwa anamchangamkia kwa ukarimu yeye na watoto kwenye hafla za kiofisi....

  Hilo la kufukuzwa kazi nalo mnh,... Nongwa huanzia pale unapombambikiwa loads of paperworks isiyokinzana na time limit, ...halafu juu ya hilo, kwenye financial Review unawekwa kiti moto mbele ya wenzako na unapewa live, "kwanini usiwajibishwe kazini...!"... yaani inabidi tu kum.... aaarrrggghhh!
   
 6. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole sana! solution ni kuacha hiyo kazi for the sake of ur wife and kids... trust me wengine even though not in the exact situation as urz but similar we did the opposite na tunajuta mpaka leo ..ingawa wife kabaki baada ya kisomo cha hali ya juu ila ukimnunisha tuu ujue ile issue ipo kichwani kwake milele!! mtu unakuwa na kazi ya kuchekesha tuu saizi noma!!
   
 7. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama ukim*** iwe kwa kupenda mwenyewe. Kama "utalazimishwa" ili kulinda hiyo dream job ina maana pia bosi mwanume aweza kukukamatisha ukuta ili kuilinda! Hhhaaa hhhaaa.
  Wazo tu..
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D exactly Bro,...duh! mtu mzima unajigeuza 'kikarikenya' ili mke asahau-sahau yalopita lakini waaaaapi!

  ...alooo :( mbona hujafikiria nimkamatishe yeye ukuta, aloo? tunavunjiana heshima sio? (take it eazy) am joking!

  ...scenario uloisema labda huyo Bosi mwanaume awe choko! ...(nitampaka pili pili ya mata**)
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Twi!Twi!Twi!Twi!Twi!Twi!Twi!vTwi!......mbu watch your mouth!
   
 10. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vp tena u shud be worried abt making such statements kuliko huyo exec...hahahahaah
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
   
 12. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Weee bwana mdogo Mbu ,Maji usoyajua kina chake usitie kaguu kako,Hapo muziki mtamu hapo,Kama wewe Mkristo basi mkumbuke Delilah alichomfanya Samsaon mtumishi ungu.Kazi na mke kipi zaidi?Najua kwa akili ya ulofa na kuendekeza kauchache utasema KAZI.Lakini nakwambia hivii kazi itapita mke unaye atakupa kazi nyingine.Lakini mke akipita huyo mnene C********D litakubamiza waya wa moto hata kwenu hutarudi tena.Akili umepewa nenda naye kwa taratibu ukimtolea nje kiana huku ukimsogeza karibu na mansapu tena na birthday zake apeleke vijizawadi tuuu.Siku ya siku mkitinga Ngurudoto wewe kalale Usa river mwambie shangazi kakuita utarudi asb,,,,UPOOOOOOOO
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...thx Bro :) dah,.... umepigilia msumari ndipo, isipokuwa paleeeee... maishani mwangu nimekuzwa kwa methali na misemo mfano huu hapa; 'a bird in hand worth two in a bush!'...

  Ngoja niirudie ile movie ya Michael Douglas; DISCLOSURE naweza kuibua few tips...
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Aa wapi wewe naona una ndoto za SLUMDOG MILLIONARE tu LOL
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Mkuu pole sana!
  1.Ndo muone adha wanazokumbana nazo wanawake katika ajira.Labda muombe wanawake wawape uzoefu wao wanapambana vipi wanapojikuta kwenye situation kama hii!

  2.Hamuoni iko haja kupigia kelele tatizo hili? Taasis nyingi hasa za kimataifa UN, INGOs etc wanazo sera kabisa za kushughulikia harrassment at places of work.Je si ni wakati muafaka kudai kila taasis iwe na sera hizi?
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Enhe WoS, leteni darasa nyie wa huko upande wa pili...
  King Kinya.jpg

  ...Utamwambia Mumeo?

  ...Utaacha kazi?

  ...Utakubali "yaishe kiofisi"?
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Una mtell off....( ila uhakikishe unajiamini kisawasawa kwenye kazi zako....)
  Akiona unajiamini kupita maelezo basi anashika adabu!
  Hakikisha unafanya kazi zako kwa umakini mkubwa..pata allies wenye kuweza ku testify for u just in case...
  Ila baada ya hapo tafuta kazi sehemu nyingine haraka! maana kuna siku utajikuta kwenye anga zake....( performance Reviews etc) unaweza ukakwama.
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Feb 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa kuwa matatizo kama haya yanawakumba sana kina dada/mama maofisini hasa pale mabosi uchwara wanaodhani cheo ni dhamana ya kuwanyanyasa na kujipatia chochote utakacho ila mimi kama MwanajamiiOne ninayo imani mioja ambayo I think in most cases inawezakusaidia.

  It depends on uwezo wa mtu hasa qualifications zake na performance zake kazini. kwa mfano ndugu yetu amesema kuwa anefanikiwa kupata a dream job baada ya kuqualify. So as long as unazo qualification zako genuine haiwekani unyanyaswe na bosi kisa jinsia hata siku moja. Umesoma, unaperform vizuri na kazi unaiweza kiasi cha kuwa very resourceful person katika kazi yako jamani tujifunze kusema NO tena a firm NO uone kama atakufukuza kazi maana atajua nini analose na hata akikufukuza You have your qualifications bwana you can get a better far better job than that unless kazi hiyo umeipata kupitia mgongo wa nyau ndo utakuwa na hofu.......

  Sijui lakini kwangu haiingii akilini eti uvuruge ndoa yako kisa kazi ambayo una qualifications zako.... sijui inawezekana nikawa wrong
   
 19. u

  utu wangu Member

  #19
  Feb 17, 2009
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  run forrest,run........mkimbie ibilisi,epuka zinaa
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
Loading...