Wee Mpelekee moto tu

Wee Mpelekee moto tu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,294
Habari wana MMU.

Mchawi sio pesa. Katika mazingira yeyote yale wale wanapenda kupelekewa moto. Haijalishi una pesa au hauna, wewe peleka moto.

Ukitaka kupoteza pesa zako basi puuzia suala la kupeleka moto.

Ukitaka kumpoteza huyo unayemuita mwandani/soul mate wewe endelea kumuonea huruma kumpelekea moto.

Wapo wahuni wanampelekea moto. Wewe ukimpa ankara basi anawapelekea wale wahuni wanao mpelekea moto.

Hawawezi kukiri mbele yenu ila kama ni kuchagua kati ya moto na pesa, wengi wanapenda moto.

Hasara moja wapo ya kumuonea huruma ni kuja kulea mbegu isiyo yako.

Eneo pekee ambalo hawapendi kuonewa huruma ni kwenye 6 kwa 6.

Pisi nilizokuwa nazipelekea moto ndio zilizokuwa zinaniganda.

Pisi ambazo nilizokuwa nazionea huruma na kuziona kama ni innocent ndio zilinitenda kipindi hiko cha nyuma.

Asa hivi huwa napeleka moto tu alafu baadae wenyewe wananitumia ankara kwa mpesa ambazo wanazoomba kwa wavivu wa kupeleka moto.

- Badilika -
 
Wanyooshe wanyooshe hao watu wenu wakike wana majukumu mengi hadi nasahau watu muhimu kama mtu mmoja kwa kweli huwa nafurah sanaaa ndiyo maana mwanaume anahangaika na few days ago
Hapa mkuu ina maana huna uhakika kama mtu mzima ushasikia kuna watu walijitoa kweny kikundi
 
Dogo wa ajabu sana wewe, hii ni hadithi za balehe
tundu ulilolitokea inatanuka kiajabu sasa wewe na kibamia chako hata kiwe na inch 10 huwezi linganisha na mtoto anayepitia hapohapo
 
Haikomolewi hiyo we peleka moto weeee utaishia kuvunja hicho kiuno chako shauri yako.
 
Huna pesa nguvu za kumpelekea moto unatoa wapi?
 
Acha kula chips.

Viazi, Maboga ,Mboga za Majani & Magimbi.

Ukitoka hapo lazima stamina ya moto iote mizizi mwilini.
Kama huna hela huwezi kula vizuri otherwise uwe vijijini huko na wawe wanalima varieties ya mazao ya vyakula,mboga na matunda..

Hela ndo kitu cha kwanza then hayo mengine yanafuata.
 
Kama huna hela huwezi kula vizuri otherwise uwe vijijini huko..

Hela ndo kitu cha kwanza then hayo mengine yanafuata.
Kula vizuri hakuhitaji pesa nyingi kama unazo jaribu kutuaminisha.

Maisha ya mtanzania wa kawaida hawezi shindwa kununua magimbi, miogo, mbaazi, viazi na maboga halafu akaweza kununua bando la 1000/=.
 
We mpelekee moto, peleka moto.... mpelekee moto tu!!
 
Vijana wanapaswa kujua kuwa ngono ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanadamu na kuna maisha mengine na mambo mengine ya msingi nje ya ngono.....

Vijana waliowahi kulijua hili sasa hivi wako mbali sana kimaisha kwenye nyanja mbali mbali......

Mbinu, maarifa na nguvu zinazotumika kwenye ngono na kumfurahisha mwanamke wangezielekeza sehemu nyingine zenye tija kwenye maisha yao hakika wangepiga hatua kubwa sana.......

Vijana ni kama wamepatwa na pepo la ngono vichwani mwao.....kila jambo linatazamwa kingono ngono tu.....kuanzia miziki, filamu na mpaka story za vijiweni vyote vimebeba maudhui ya ngono tu.........

Ni mtazamo tu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom