Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

mtoto mpole

JF-Expert Member
Mar 22, 2010
678
148
Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm?

A friend of mine ameolewa na anampenda sana mume wake na ni mzuri.

Msafi ana sifa zote za kua mke ana mtoto ,tatizo linalomkabili sasa hivi ni kwamba mume wake amekua anakaa mda mrefu sann bila kushiriki nae tendo la ndoa inaweza ikakaa hata siku 14 bila bila na akikutana na mumewe sperms zinakua chache mno mno,amelalamika vya kutosha mume wake anamwambia hamna kitu na anajua yeye(mume) si mtu wa tendo la ndoa na anaweza kukaa hadi mwezi bila tendo.

Kissing imekua tabu wakati mdada kwa kweli she loves it much.

Sasa amemuuliza mumewe kama kuna shida aambiwe ajirekebishe.

Kama aongeze usafi.

Au afanyeje mumewe anamwambia mke wangu tuna mtoto mdogo sana A year so anaogopa kumpa mimba ingine.

Wadau hii ni kawaida kweli?je ahisi mumewe ana mtu nje au punyeto anafanya sana?
 
Sio kawaida kabisa, kama hana mwengine nje basi ana tatizo la kiafya. kwa ushauri na msaada zaidi nione PM
 
Wake wana kazi sana kuna mmojq analalamika mtaa wa saba mume hajamgusa miezi 8 ikabidi mke ambake mume hapohapo usiku kuwhatsapp na mademu tofauti.
 
Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm? A friend of mine ameolewa na anampenda sana mume wake na ni mzuri...msafi ana sifa zote za kua mke ana mtoto ,tatizo linalomkabili sasa hivi ni kwamba mume wake amekua anakaa mda mrefu sann bila kushiriki nae tendo la ndoa inaweza ikakaa hata siku 14 bila bila na akikutana na mumewe sperms zinakua chache mno mno,amelalamika vya kutosha mume wake anamwambia hamna kitu na anajua yeye(mume) si mtu wa tendo la ndoa na anaweza kukaa hadi mwezi bila tendo...kissing imekua tabu wakati mdada kwa kweli she loves it much...sasa amemuuliza mumewe kama kuna shida aambiwe ajirekebishe...kama aongeze usafi....au afanyeje mumewe anamwambia mke wangu tuna mtoto mdogo sana A year so anaogopa kumpa mimba ingine...wadau hii ni kawaida kweli?je ahisi mumewe ana mtu nje au punyeto anafanya sana?

Sema tu mmeo acha kusingizia a friend of you, ila swala sperm inategemea na lishe nakushauri ummpe chakula kizuri mmeo ambacho kitamfanya awe na nguvu ya kutosha kukugegeda kila siku.
 
Hadi mnafikia steji ya kupiga hizo stori huwa mnakuwa hamna kazi za kufanya?

Mkuu umesahau kuwa maisha ni kazi na dawa??

Ila hawa watoto kama hawatajua kipimo cha nguvu za kike na kukifanyia kazi, hizi kesi ndo zitazidi sana!!

Inabidi watu wajiulize kwa nini mtoto wa kike anacheza na midoli wakati wa kiume anacheza na mitoy ya aina nyingine. Ila ukubwani, mambo yanakuwa kinyume chake.....Do they know why??
 
Hiyo si kawaida. Wanaume kwa wastani huhitaji sex kila siku hasa akiwa na mwanamke. Sasa kuishiwa hamu kwa kipindi kirefu hivyo inaweza kusababishwa na Msongo wa mawazo (stress), magonjwa kama pressure na kisukari, uzito wa kupindukia, gubu la mke, n.k. Sababu ni nyingi ila ukweli ni kuwa hiyo si kawaida hata kidogo.
 
Mkuu umesahau kuwa maisha ni kazi na dawa??

Ila hawa watoto kama hawatajua kipimo cha nguvu za kike na kukifanyia kazi, hizi kesi ndo zitazidi sana!!

Inabidi watu wajiulize kwa nini mtoto wa kike anacheza na midoli wakati wa kiume anacheza na mitoy ya aina nyingine. Ila ukubwani, mambo yanakuwa kinyume chake.....Do they know why??

Babu naomba unieleweshe hapa unamaanisha nini!!!!!!!!!!
 
Huyo rafiki yako anaibiwa. Awe makini

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ndo maana nikauliza kwa nini tunabadilishana ukubwani??

Sie twapenda midoli doli na nyie mwahamie kwenye mitoy mingine......

May be ni kufidia gaps....??

Bado hujaelewa??

Nimeelewa sasa .....................

Kumbe ulimaanisha hivi.............,
 
[h=2]Binafsi nakubaliana na kipima mbele;
Wanaume kwa wastani huhitaji sex kila siku hasa akiwa na mwanamke. Sasa kuishiwa hamu kwa kipindi kirefu hivyo inaweza kusababishwa na Msongo wa mawazo (stress), magonjwa kama pressure na kisukari, uzito wa kupindukia nk; ila stress zinazo leta na kukosa utulivu wa maisha zinachangia sana;
mf. mwanamme anapoingia ndani ya nyumba na kutanguliziwa madai ya v
itu flani flani, humuadhiri sana kisaiklogia>
Sisemi tusiwadai wanaume wakatimiza majukumu yao ya familia ila cha msingi ni tuwadai wakati gani ulio muafaka...
[/h]
 
huenda mme kanenepa. hiyo imetokea kwangu.ninakuwa na hamu sana ila nikilala mpaka asubuhi sasa nimeukumbuka wimbo wa Bambo, kitambi nilikuwa nakutamani leo nimekipata nimeona kitambi nomaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom