Ametumia taulo langu kama dekio. Je, anafaa kuwa mke kweli?

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
372
1,000
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,

Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,

Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,211
2,000
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,
Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la Leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,
Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?
Minor case hiyo... usijali mambo madogo sana.. panuwa kifuwa umezee... maisha ya ndoa kuna zaidi ya hayo.
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,236
2,000
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,
Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la Leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,
Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?
Hivi Mkuu unajua maana ya msaada wa haraka?

Jambo dogo kama hili limekuzuia nini kujibana mpaka tumalize kuzika??

Huyo ni mke kabisa, anakufikishia taarifa uache kutumia matambara kama taulo.
 
dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
372
1,000
Hivi Mkuu unajua maana ya msaada wa haraka?

Jambo dogo kama hili limekuzuia nini kujibana mpaka tumalize kuzika??

Huyo ni mke kabisa, anakufikishia taarifa uache kutumia matambara kama taulo.
Ha ha ha, hayajakukuta mkuu
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,964
2,000
Kiufupi wanawake hawapendi vitu vilivyochoka choka hio taulo ilikua ikimkera mpenzi wako kwani naimani umekaa nayo mda mref na unayo moja tu so kaamua kukukumbusha kununua ingine
 
dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
372
1,000
Sasa unataka msaada wa nini hapa tena unasema wa haraka kama unahitaji ambulance vile!

Pumbavu zako! Nunua lingine kwani bei gani? Aaarrrgghhhh
Tatizo sio kununua jingine,yatizo ni ujasiri wa kidekia taulo la Mme wake mtarajiwa anapata wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom