Ushauri nataka kuoa Mgindo, vitu gani muhimu kuzingatia?

Mmanyema

Member
Nov 14, 2016
25
26
Ndugu zangu natanguliza salaam,

Kwenye tembea tembea zangu kuna bint nimekutana nae nimevutiwa nae na nafikilia kumuoa bint wa kingindo mwenyeji wa kilwa na mimi ni mmanyema mwenyeji wa kigoma.

Kwa wanao jua watu wa kabila hili naomba mnijuze kama mtu anataka kwenda kuoa vitu gani vya kimila huwa wanahitaji. Natanguliza shukurani zangu za dhati nikiwa nasubiri kujifunza kutoka kwenu
 
Mkuu watakuja wanaowajua vzr tabia zao ila kuhusu mila na taratibu za kwao miulize bibie maana sio kila familia inafuata mambo ya kimila zingine zinaendesha mambo kimjini mjin
 
Back
Top Bottom