Mrejesho baada ya kunyimwa unyumba kwa mda

Mrejesho baada ya kunyimwa unyumba kwa mda

MusuKuma

Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
33
Reaction score
87
Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.

Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota hadi natembea nikatoka chumbani hadi sebleni, akanifata akasema leo unanini siuamke uombe jamani?

Nikaona hii haijatosha nikajilaza tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.

Hahaaaaa

Pia soma: Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?
 
nashukuru mliotoa ushauri niliona Bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.

Basi Leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea Mara ya 1 akapuuza Mara ya pili nikaota Hadi natembea nikatoka chumban Hadi sebleni, akanifata akasema Leo unanini siuamke uombe jmn?

Nikaona hii haijatosha nikajilaza Tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache Basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.

Hahaaaaa
Karibu Chato mkuu
 
Screenshot_20210210-160048-1.jpg
Duuhh kama ndoa ndio hivo napiga 🙌 tena
 
Yaani mtu unaoa halafu unaanza tena kumtongoza Mkeo ili kupata Papuchi!

Kwanini uishi maisha ya mateso wakati maisha yenyewe ni mafupi?
Ulichokifanya sio solution,bali ni umesolve problem ila hujaeliminate the problem.
Ukute kuna kitu alimuomba akamunyima mke kaamua kubaki na papuchi yake na mme nae apambane na hali yake😂
 
Back
Top Bottom