Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,474
2,000
1619691950698.png

Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.

Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga goli anaweka mpira kwenye nyeti zake.

Maneno yake hayana tena mvuto kwangu.

Amefulia kiuchumi. Na nafsi yangu imefulia kwake.

Nifanyeje?

ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.

Ndiyo maana unapowaeleza wazazi/ ndugu/jamaa/marafiki kuwa umepata mchumba, swali lao la kwanza huwa ni "anafanya kazi gani? Ama anajishughulisha na nini? Why this question?
 
wax

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
5,562
2,000
Vp mzee umeachana na siasa uchwara mzee??

Vp mataga wanasemaje kwan???

Ngoja niwaiteee

Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
165,063
2,000
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.

Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga goli anaweka mpira kwenye nyeti zake.

Maneno yake hayana tena mvuto kwangu.

Amefulia kiuchumi. Na nafsi yangu imefulia kwake.

Nifanyeje???.

ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.

Ndiyo maana unapowaeleza wazazi/ ndugu/jamaa/marafiki kuwa umepata mchumba, swali lao la kwanza huwa ni "anafanya kazi gani? Ama anajishughulisha na nini? Why this question?
ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom