Dunia inakwenda kasi sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"

RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.

Rais; Mama unaelimu gani?

Mteule; Nina masters in Public administration.

Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*
 
Yaani kama vile anagawa kuku wake kutoka bandani! Tumeliwa sana watanzania. johnthebaptist
 
Back
Top Bottom