Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau..! Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
7 Reactions
72 Replies
12K Views
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wapendwa, Wimbo gani unaupenda zaidi wakati wa "love making" na mtu unayempenda.? Mimi napenda nyingi ila kwa sasa favourite song ni Essence remix ya Wizkid ft Tems and Justine...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Niko na demu mmoja hivi ,single mother, tumeanza relationship nae ila cha ajabu siku na date nae nataka kuingiza chuma ktk K yake, inasinyaa kbs, acha hyo nikarudia mara ya pili same story...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu wapendwa, Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni Juzi nilikuwa nachart na mdada mmoja Instagram jina nalihifadhi akaniambia yuko dar mitaa ya temeke Dada alionekana mwenye furaha...
8 Reactions
221 Replies
13K Views
Niaje niaje Turudi kwenye mada kuu kuna siku moja Mimi na aliyekuwa demu wangu tulienda zetu Coco kupunga hewa sasa bana sijui shetani kijicho chongo alipita wapi akatuona kuja kucheki Gogo liko...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Mambo wana MMU naombenni kujua kama kufanya mapenzi sehemu isiyo rasmi ni kumdhalilisha mpenzi wako?au Maana mnaweza mkawa mmekutana tu sehemu kwa ajiri ya story mara mkaanza romance za hapa na...
2 Reactions
139 Replies
17K Views
Kwanza Salam kwenu wakuu Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba. Kuna michepuko...
15 Reactions
350 Replies
42K Views
Kabla ya kumaliza chuo kuna manzi nilimvuta geto nikampa roles za mke na ahadi kibao kuwa tutaoana akimaliza chuo acha Mimi nitangulie nikatengeneze life mtaani. Nilimvuta geto karibia miezi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Una kiwanja Bunju lakini kwa sasa unaishi kwa kaka. Umepata mchumba mnategemea kufunga ndoa. Bugdet ya harusi mliyonayo mkononi ni milioni 10. Hii ni pesa wachumba waliweka kwa pamoja kwa miaka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa...
26 Reactions
336 Replies
50K Views
Kuna dada mmoja tulikuwa tunafanya kazi pamoja ofisini, ni mstaraabu mno. Kwakuwa mimi tumezoeana sana akawa ananisimulia mambo yake mengi yakiwepo ya mahusiano. Akawa ananieleza namna ambavyo...
34 Reactions
145 Replies
46K Views
Hamjambo wajukuu, Mambo ni mengi muda hautoshi basi alfu lela ulela kibao... Sikuwa na mpango wa kutoka leo, maana jua kali halafu usingizi ulikuwa bado umeshika hatamu. (Usijiulize maswali...
12 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu Kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilichojifunza katika mahusiano Haya...
19 Reactions
105 Replies
11K Views
Habari zenu wapendwa, samahanini kwa uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza. Hapo nyuma nilikuwa na boyfriend alikuwa ni mtu asiyejali ukaribu wetu alikuwa anajali simu yake zaidi kuliko mimi...
0 Reactions
307 Replies
31K Views
Ukiwa msatarabu na mwenye huruma mwana mke anakuona kama fala, nakupa mfano moja ulio tokea kwangu binafsi, kuna mwanamke tume date takribani miaka sita kwa matumaini ya kumuoa, lakini kusema...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh. Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo...
13 Reactions
63 Replies
8K Views
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo...
5 Reactions
144 Replies
13K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31, Naishi Dar es salaam- ubungo Elimu : Bachelar Ajira: mwajiriwa serikalini Mdada nimtakae, Awe na mpole na mwenye nia njema Mzuri kiasi tu. Umri: awe na...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi wale wadada ambao ukiwatongoza wanakukataa kata kata tena anaweza hata kukuaminisha siwezi kundate na mtu kama wewe maisha yangu lakini ukiwakaushia na wewe ukaendelea na harakati zako muda...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom