What is your favourite "love making" song?

suzie _barbie

JF-Expert Member
May 2, 2017
530
1,000
Habari wapendwa,

Wimbo gani unaupenda zaidi wakati wa "love making" na mtu unayempenda.?

Mimi napenda nyingi ila kwa sasa favourite song ni Essence remix ya Wizkid ft Tems and Justine Beiber......

Some of the lyrics zinazonikosha...

"I prayed for this moment
I would be by your side
And I don’t wanna forget
Those lonely nights
Ooh, so tell that you gon’ ride with me
Tell me that you’ll never lie to me (Mm-hmm)
I just wanna make you proud of me
Want you lovin’ every side of me
I love the rhythm of your heartbeat
The way you pushin’ up on me
I can tell that you want me
Let me show you how it’s gon’ be

Wewe upi unakukosha zaidi..
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
13,603
2,000
✓Sexual Healing ya Marvin Gaye

✓Diamond ft Vanessa Mdee

✓Tattoo ya Fireboy DML..

✓Body on me ya Rita Ora ft Chris Brown

✓Back to sleep ya Chris Brown

✓35+34 Ariana Grande..mtoto mhuni sana huyu 35+34=69 position.

Ijumaa nina game ngoja nicreate playlist kabisa pale kwenye Deezer app yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom